Wazo Langu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 1,381
- 842
unaweza ukute wl n men kabisaaa
Sijakuelewa, Hanithi ufanye nae nini?
Mimi WL na si mtu mwingine.
Nahitaji Mwanaume Hanithi.
Asiwe shoga wala asiwe amewahi kujihusisha na ushoga.
Awe anayejiamini na anaweza kutatua changamoto za kimaisha.
Awe na malengo ya kuoa.
Asiwe mtegemezi/kupe na awe na kipato halali.
Muonekano pia una nafasi yake
Mimi ni mwanamke kamili sina tatizo lolote kuhusiana na uanamke wangu.
Umri wangu 30+
Elimu yangu nimesogeasogea
Namaanisha sipo kufanya dhihaka.
Kama upo humu una sifa hizo na unatafuta njoo PM au unamjua wa sifa hizo mlete
Halafu unataka awe na kipato! Ili uwe unakula pesa zake na mabwana zako...
na anasema awe tayari kuoa!!!Sijakuelewa, Hanithi ufanye nae nini?
Same here....Ngoja nisome comments tu
Mkuu hebu refusha hicho kifupisho![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] SMDH! [emoji15][emoji15][emoji15]