Wazo Langu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 1,381
- 842
Mimi WL na si mtu mwingine.
Nahitaji Mwanaume Hanithi.
Asiwe shoga wala asiwe amewahi kujihusisha na ushoga.
Awe anayejiamini na anaweza kutatua changamoto za kimaisha.
Awe na malengo ya kuoa.
Asiwe mtegemezi/kupe na awe na kipato halali.
Muonekano pia una nafasi yake
Mimi ni mwanamke kamili sina tatizo lolote kuhusiana na uanamke wangu.
Umri wangu 30+
Elimu yangu nimesogeasogea
Namaanisha sipo kufanya dhihaka.
Kama upo humu una sifa hizo na unatafuta njoo PM au unamjua wa sifa hizo mlete