Mkuu....Nimeongozwa tu kupenda visivyopendeka.
Desperation, upweke ni maradhi mabaya sana.Mwanamke kabisaa. Nimechoka drama.
Kama unajijua ni Mwanamke kamili unataka khanis wa nn hasa?Mimi WL na si mtu mwingine.
Nahitaji Mwanaume Hanithi.
Asiwe shoga wala asiwe amewahi kujihusisha na ushoga.
Awe anayejiamini na anaweza kutatua changamoto za kimaisha.
Awe na malengo ya kuoa.
Asiwe mtegemezi/kupe na awe na kipato halali.
Muonekano pia una nafasi yake
Mimi ni mwanamke kamili sina tatizo lolote kuhusiana na uanamke wangu.
Umri wangu 30+
Elimu yangu nimesogeasogea
Namaanisha sipo kufanya dhihaka.
Kama upo humu una sifa hizo na unatafuta njoo PM au unamjua wa sifa hizo mlete
Kuliko kuwa na hanithi ni bora kuishi single maisha yangu yote.na wewe unamtaka hanithi.?
Nina pesa zangu ila nae awe na zake kwa matumizi yake.
Baada ya kupost ujinga anajisifia eti kasoma labda atakuwa alienda kusomea ujinga [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]JF is never boring - The Boss
Unataka kunenepesha ndafu?