Mwanaume Hanithi anayehitaji mke

Mwanaume Hanithi anayehitaji mke

Mimi WL na si mtu mwingine.
Nahitaji Mwanaume Hanithi.
Asiwe shoga wala asiwe amewahi kujihusisha na ushoga.
Awe anayejiamini na anaweza kutatua changamoto za kimaisha.
Awe na malengo ya kuoa.
Asiwe mtegemezi/kupe na awe na kipato halali.
Muonekano pia una nafasi yake

Mimi ni mwanamke kamili sina tatizo lolote kuhusiana na uanamke wangu.
Umri wangu 30+
Elimu yangu nimesogeasogea
Namaanisha sipo kufanya dhihaka.

Kama upo humu una sifa hizo na unatafuta njoo PM au unamjua wa sifa hizo mlete
Kama unajijua ni Mwanamke kamili unataka khanis wa nn hasa?
Watu wana vituko sana
 
kwa akili yako hiyo ya kiasi cha elimu ulichojinasibisha .....darasani na nje ya darasa.....unadhani wanawake wanaolewa kwa dhumuni gani hasa....???....
 
We we mtoa post MBNA mm sjakuelewa au labda sielewi maana ya hanith ? Nahitaji darasa hapo , unamtaka kwa ajili ya kumchuna au!
 
Hanithi maana yake nini? Mwenzenu sijuagi!
 
Huyo hanithi awe tayari kwa dharau na kebehi za kila aina..

Kama mwanamke "ukimkoleza" vilivyo anawadharau wanaume aliowahi kuwalambisha vipi kwa huyo hanithi?
 
Back
Top Bottom