Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
-
- #21
Kweli wewe mbobezi aseHapana kama ni mwanamke hawezi kujibu hivyo ile meseji iko emotional na pale ziko 3 in 1 message.
Mwisho wa siku Yeye mwenyewe ndio ataomba appointment na kuharakisha muonane ili akuone unafananaje ili avute kumbukumbu mlikutana wapi na mkishakutana mada inabadilika anasahau alichoplan kuja kukuuliza.
17yrsIla mwachi kwani una umri gani? 🙆♂️
Kweli mstaafu upo vzrNi mkongwe ila siku hizi nimestaafu nimewaachia vijana sisi tunafocus na kulea familia
Nitakupa vile ambavyo huna...Nikikupa number we utanipa Nini?!😹
Ruka PM chapNitakupa vile ambavyo huna...
Fungua PM...Ruka PM chap
SawasawaFungua PM...
Nakuja faster...Sawasawa
🥂Nakuja faster...
Ila wee jamaa...!!
Hakuna kulemba mzeeMaimae hiyo ya malaya wa karibu imekaa powa sana.
Na ndivyo inavyo hitajika.Hakuna kulemba mzee
Una aga mashindano kijinga 🤣Niliomba namba ya mganga nikapewa hii
For sureNa ndivyo inavyo hitajika.