Mwanaume hili swali una jibuje?

Mimi siongei na mtu bila ya huyo mtu kuwa na introduction ya mtu tunayemjua wote.

Na mara nyingi huwa mimi ndiye natafutwa.
 
Hii ndio uhakika swala za kujieleza hapana
 
Japo sijawahi ulizwa au kwa kuwa huwa naanza na intro kabisa.

"" Mi flani nimekutafuta kwa shida flan namba yako nimepata sehem flani..""

Sasa hapo akijibu kunya is up to yeye mara nyingi huwa nipo straight tu kama haeleweki namuweka blacklist
 
Yaan ile ume tafuta namba then mtu wewe una mjua yeye hakujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…