MWANAUME INGIA HAPA

MWANAUME INGIA HAPA

Strong25

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2021
Posts
394
Reaction score
834
Shaloom shaloom shaloom

HAPA NINA CODE CHACHE SANA
KAMA HUKWENDAGA QUBA BAS SOMA HII ITAKUSAIDIA

Kutembea na mke wamtu
_tafuta namba mpya tofauti nayakwako (namba mama) mkiwa mnawasiliana
_usimtumie sms maisha yako yote (zingatia sana hii)
_hata kama huna mke ila mwambie naww upo kwenye ndoa au mahusiano imara sana
_usisubutu kwenda kwake hata akuambiaje (usiende usiende usiende )
_mkikubaliana mkutane sehemu fulani akifika tu chukua boda muende sehemu ingine (usimwambie mnakoenda )
_hakikisha mkiwa pamoja simu yake unayo ww au kama anayo yeye asiwe anachat chat (utakuja kukamatwa kama kuku)
_pambana umjue mumewe hata kwapicha (mjue adui yako ili ujue unamkwepa vipi)
_hakikisha kama una mke -huyo mke wamtu asiijue namba yamkeo (kuna siku atampigia mkeo ) hii hata mchepuko wako asijue namba yamkeo kuna siku watapigiana simu ww ukiwa kazini
_usizoee kwenda nae sehemu moja kila siku (utakuja kulia huku unasaga meno)
_hakikisha hamtumii usafiri wa-umma (daladala usipande nae hata kwafimbo) _kuna siku mtapanda na shemeji wa mke au mme wake bila nyie kujua
_mkiwa mnatoka gest hakikisha ww ndo wakwanza kutoka (akianza kutoka yeye anaweza rudi nawatu ndani kuwa makini)
_usipige pige simu kila muda hata kama akikwambia mumuwe hayupo (viumbe hatari sana hawa)

USIMWAMBIE MADHAIFU YAMKEO HATA KAMA MKEO ANAYOKWELI
___KAA UKIJUA UKILA VYAWATU NAWW WAKO ATALIWA ..!
NAWASILISHA
 
Hizi shida zote unajipa ili iweje kwa mfano!!?,Huwa hamna pia mambo ya msingi ya kuwaza aisee siwezi jitesa hivyo maana hayo maisha uliyochagua kuishi ni kama mkimbizi tu
 
Back
Top Bottom