Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah 😔😔Hahaha_ukute mwanaume wako ndo alieweka huu uzi
SHida yote yanini na masingle wamezagaa kama kuku wakisasa wai roho juujuu kisa nini nawanatoa kwa hiyariShaloom shaloom shaloom
HAPA NINA CODE CHACHE SANA
KAMA HUKWENDAGA QUBA BAS SOMA HII ITAKUSAIDIA
Kutembea na mke wamtu
_tafuta namba mpya tofauti nayakwako (namba mama) mkiwa mnawasiliana
_usimtumie sms maisha yako yote (zingatia sana hii)
_hata kama huna mke ila mwambie naww upo kwenye ndoa au mahusiano imara sana
_usisubutu kwenda kwake hata akuambiaje (usiende usiende usiende )
_mkikubaliana mkutane sehemu fulani akifika tu chukua boda muende sehemu ingine (usimwambie mnakoenda )
_hakikisha mkiwa pamoja simu yake unayo ww au kama anayo yeye asiwe anachat chat (utakuja kukamatwa kama kuku)
_pambana umjue mumewe hata kwapicha (mjue adui yako ili ujue unamkwepa vipi)
_hakikisha kama una mke -huyo mke wamtu asiijue namba yamkeo (kuna siku atampigia mkeo ) hii hata mchepuko wako asijue namba yamkeo kuna siku watapigiana simu ww ukiwa kazini
_usizoee kwenda nae sehemu moja kila siku (utakuja kulia huku unasaga meno)
_hakikisha hamtumii usafiri wa-umma (daladala usipande nae hata kwafimbo) _kuna siku mtapanda na shemeji wa mke au mme wake bila nyie kujua
_mkiwa mnatoka gest hakikisha ww ndo wakwanza kutoka (akianza kutoka yeye anaweza rudi nawatu ndani kuwa makini)
_usipige pige simu kila muda hata kama akikwambia mumuwe hayupo (viumbe hatari sana hawa)
USIMWAMBIE MADHAIFU YAMKEO HATA KAMA MKEO ANAYOKWELI
___KAA UKIJUA UKILA VYAWATU NAWW WAKO ATALIWA ..!
NAWASILISHA
Mke wa mtu mtamu kuliko haoWewe dogo ni fala sana, why ung'ang'ane na mke wa Mwanaume mwenzio yamkini wanawake ni wengi sana kiliko ata sisi au unatamani kupumuliwa kisogoni?
Kuna single mothers
Kuna wajane
Kuna wanaojiuza
Kuna waliofeli shule n.k n.k
Come on.!!
Kwanini unaniita dogo..? (Hio strong25 ni nikname tu ) chunga sana kijanaWewe dogo ni fala sana, why ung'ang'ane na mke wa Mwanaume mwenzio yamkini wanawake ni wengi sana kiliko ata sisi au unatamani kupumuliwa kisogoni?
Kuna single mothers
Kuna wajane
Kuna wanaojiuza
Kuna waliofeli shule n.k n.k
Come on.!!
Ulichoandika hakitawahi kukusaidia zikitimia 40, kilicho bora ni kutodate wake za watu ukajiepusha na majanga yasiyo na ulazima.Shaloom shaloom shaloom