Mkuu Unaogopa strokeWengine tumevuka huko mda mrefu sana, kuanza ambush search kwa mkeo kwa namna yoyote ni ufaller sana.
Na ajue unamfatilia mwaka hamtoboi na utagombana na watu ambao hukudhani kugombana naoUkitaka ufe mapema mfatilie na monitor mke wake.
Utakufa umedinda kengeweLakini pia ni vyema kufanya ambush phone searching mara moja moja
Kumchunga kibaka (mwanamke malaya wa asili)ni ngumu mnoo.Kaa naye kiakili tu.Wakuu kuna siku unaweza Kuja ukalala njaa kumbe mkeo ana fedha ya kutosha na akabunda kimya bila kukutaarifu,
Unakuta ana milion
Lakini pia ni vyema kufanya ambush phone searching mara moja moja ili ujuwe, mustakabali
🥶NB kama una moyo mdogo Usijaribu kusearch simu ya mke wako
Ila wake zetu/wapenzi wanakuwaga na hela nyingi sana, ila wanabunda, 🙌
Vurugu mechi kabisaNa ajue unamfatilia mwaka hamtoboi na utagombana na watu ambao hukudhani kugombana nao
Tembea km una matege matege vile viingilioKumchunga kibaka (mwanamke malaya wa asili)ni ngumu mnoo.Kaa naye kiakili tu.
kuliko kukaa nae kwa akili, si bora ukatae ndoa halafu hizo akili za kukaa na mwanamke ukazitumia kutafuta pesa?Kumchunga kibaka (mwanamke malaya wa asili)ni ngumu mnoo.Kaa naye kiakili tu.
But unajua nini father, familia nyingi ambazo baba ameenda mama akabakia huku nyuma kilichofuata ni masikitiko makubwa matetereko ya kiimani yaan utakuta tu mwanamke baba alipokuepo alikua anaenda church fulani baada ya baba kwenda basi mama huyo anahama kambi unajiuliza huyu aliwaza nini huyu kila ukivuta picha majibu hayaji, baba asipokuwepo familia huteteleka haakuna familia inayoongozwa na mama ikafika bila kuvurugikaHela ya mkeo ya nini mzee? Hutakiwi kuhoji hata mshahara/pato lake ! Hela yake ni saloon kupendeza, na kutunza wazaz wake,,, nyingine anaweza ku-provide kdg hapo kwako,,,, ! Wewe kama mwanaume una jukumu la kuitunza na kuhudumia familia yako,,,,pesa ya mke usiipigie hesabu
Usipofatilia utakufa na ukimwi😹😹😹Ukitaka ufe mapema mfatilie na monitor mke wake.
Kufanya escapism/kuitoroka ndoa ni kutojitambua,kukubali kwamba huna akili ya kutawala na kummiliki mke,ulegevu na kuifuata mikumbo-rika au kukosa nguvu za kiume.Hizo hela ukishazitafuta na kuzipata unazinunulia boksa nyingi kufunika dushelele na viwembe vingi vya kunyolea dushelele usilolitumia?Funny!kuliko kukaa nae kwa akili, si bora ukatae ndoa halafu hizo akili za kukaa na mwanamke ukazitumia kutafuta pesa?
Sitaki magonjwa ya moyo na afyabya akili, Mimi mwenyewe sio mkamilifuWakuu kuna siku unaweza Kuja ukalala njaa kumbe mkeo ana fedha ya kutosha na akabunda kimya bila kukutaarifu,
Unakuta ana milion
Lakini pia ni vyema kufanya ambush phone searching mara moja moja ili ujuwe, mustakabali
🥶NB kama una moyo mdogo Usijaribu kusearch simu ya mke wako
Ila wake zetu/wapenzi wanakuwaga na hela nyingi sana, ila wanabunda, 🙌
Kondebimjeshi kabisa wewekuliko kukaa nae kwa akili, si bora ukatae ndoa halafu hizo akili za kukaa na mwanamke ukazitumia kutafuta pesa?
Kufa kwa UKIMWI utachukua miaka hadi thelathini na zaidi ukitumia akili wakati ufuatiliaji wako utakuua kwa presha chini ya dakika kumi.Chagua moja.Usipofatilia utakufa na ukimwi😹😹😹