Mwanaume Jifunze kuangalia message ya miamala kwenye simu ya mke/mwanamke wako

Huo mchezo sitaki kujaribu tena

Nilifanya tracking ya Simu ya mchepuko wangu fulani, mbona mwenyewe nilinyanyua mikono juu 🙌

Yanini kufa Kwa Presha na Uzee huu tena, wakati pension yangu sijamaliza
 
Wengine tumevuka huko mda mrefu sana, kuanza ambush search kwa mkeo kwa namna yoyote ni ufaller sana.
Ulishasagiwa 'limbwata' na likashika, hauwezi kuzinduliwa tena hata kwa sala.

Mke ni mali yako huzuwiwi kumfuatilia kwa karibu, afya yake, siri zake na future intantions zake bila kujali mmeishi miaka mingapi.

Kutokumfuatilia ni uzembe, sababu wenzetu hao hawaaminiki ingawa tumeunganishwa kibiolojia.
 
Mjini ukiwa fala unaweza ikajikuta unahudumia demu ambae amekuzidi uwezo kifedha.
For sure, man lakini tuzungumzie kwa mtu kama Samia, Tulia ackson hivi kweli wanahudumiwa na wanaume zao maana pesa wanayo lepe la kutosha
 
unatafuta hela kwenye simu ya mchepuko, ili? kama mke ulimuoa ana zaidi ya miaka 16 mna sio bikra huo ni mchepuko
 
Huo mchezo sitaki kujaribu tena

Nilifanya tracking ya Simu ya mchepuko wangu fulani, mbona mwenyewe nilinyanyua mikono juu 🙌

Yanini kufa Kwa Presha na Uzee huu tena, wakati pension yangu sijamaliza
Hahaha!
Halafu mchepuko ndo ukuue na sio mke.
 
Huhitaji kuongeza mke wa pili 😹😹
 
Nimevuka huko mkuu, ndoa ikishavuka 10yrs just show love to your spouse. Mambo mengine hayana nafasi wala.
Kuna siku mkuu, nilikua apeche vibaya Sina Ata Mia nina njaa mpenzi wangu akasema ana hata Mia kumbe, bahati mbaya kafungua begi lake kitita cha bando la sita

Niliishiwa nguvu hadi leo Nina kinyongo
 
Simu ya mke wangu ishakuwa kama yangu tu.
Nikimpigia yeye simpati kwa urahisi mpaka nimtafute jirani.

Meseji za watu huwa hazijibiwi kwa wakati mpaka namsaidia kumjibia.
Sasa nitakagua nini maana mimi naijua simu yake kuliko mwenye nayo.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…