Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Hahaha............bila kutrack unaweza kujikuta umeungwa kwenye basi la kwenda Mwanza la abiria 65 πHuo ndiyo uzuri wa wazee.
Hawana mambo mengi tofauti na hawa wasimamia kuchaπ.
Huwa unatumia mbinu gani kutrack mkuu? Tupatie elimu kidogo.
ππππππMjini ukiwa fala unaweza ikajikuta unahudumia demu ambae amekuzidi uwezo kifedha.
Wee nae kaa kimya, mtu unalelewa utakaguaje cm ya sponsor wako?Siwezi fanya hayo mambo mimi.
Kwanza kwanini nishike simu yake..
Huo ndio mwanzo wa kutoaminiana mi mpaka mtu akafanya mambo ya hovyo na nikagundua ni dharau kubwa sana kwangu.
Bora afanye kw kujificha hv hv.
Kingine hakuna mwanamke wa kunificha mimi kwa issue za simu au tech yoyote ile hawezi nichanganya...
Nina intelligence kali sana ambayo naweza kujua kila kitu kuhusu simu yake kwa mda w sec 3 au 5
Hahahaha!Hahaha............bila kutrack unaweza kujikuta umeungwa kwenye basi la kwenda Mwanza la abiria 65 π
Nina watu wazuri wa IT, kwahiyo kupata taarifa ni jambo la dakika 10
Khaaa an mi nipewe simu...Wee nae kaa kimya, mtu unalelewa utakaguaje cm ya sponsor wako?
Huogopiiii? πππππ
Ndiyooo.Khaaa an mi nipewe simu...
Yaani mi nilelewe seriously π³ π³
Coca unakosea sana mi kwa sasa ni mtu ambaye najitafuta na sijawahi waza kutegemea kwa mmama....Ndiyooo.
Uongoooo.Coca unakosea sana mi kwa sasa ni mtu ambaye najitafuta na sijawahi waza kutegemea kwa mmama....
Hutakiwi kuwa na roho nyepesi kama ulivyosema, otherwise mnaweza kusikia Mzee wa miaka 79 apoteza maisha baada ya kumfumania nyumba ndogo yake πHahahaha!
Sema sasa roho yako isiwe nyepesi.
Nilifikiri una ujuzi utuelimishe tunaohitaji.
Hutakiwi kuwa na roho nyepesi kama ulivyosema, otherwise mnaweza kusikia Mzee wa miaka 79 apoteza maisha baada ya kumfumania nyumba ndogo yake π
Mahusiano ya miaka hii ni kuishi Kwa tahadhali tu, maana maradhi yamejaa kila angle
Hahaha........... Nakuhurumia utakufa vibaya wewe (in Mchungaji mmoja hivi tone)ππππ
Kwasasa ni hatari sana.
Ila ninyi wazee wetu kidogo mngepumzika, mtakufa vibayaπ
πππHahaha........... Nakuhurumia utakufa vibaya wewe (in Mchungaji mmoja hivi tone)π
Tumeacha zamani sana hayo mambo, saivi tumebaki kucheza na Wajukuu tu π€
Na ukifatilia pressure hii hapaUsipofatilia utakufa na ukimwiπΉπΉπΉ
Hakuna kupumzikaNa ukifatilia pressure hii hapa
Haha, yaani wewe humu unaingia kucheka na kutoka tu. Wazima wote huko lakini..?Hakuna kupumzika
Yaani apigwe paipu yeye maumivu na hasira upate wewe ππ? Hii kitu sijawahi kuelewa, labda nachangamoto zangu.Kufa kwa UKIMWI utachukua miaka hadi thelathini na zaidi ukitumia akili wakati ufuatiliaji wako utakuua kwa presha chini ya dakika kumi.Chagua moja.
Nilikuta muamala wa tsh 1m kwenda kwa mchungaji ukisindikizwa na ujumbe kwamba ni hela ya ahadi ya kununua vyombo vya muziki kanisani.Wakuu kuna siku unaweza Kuja ukalala njaa kumbe mkeo ana fedha ya kutosha na akabunda kimya bila kukutaarifu,
Unakuta ana milion
Lakini pia ni vyema kufanya ambush phone searching mara moja moja ili ujuwe, mustakabali
π₯ΆNB kama una moyo mdogo Usijaribu kusearch simu ya mke wako
Ila wake zetu/wapenzi wanakuwaga na hela nyingi sana, ila wanabunda, π