Mwanaume jitahidi kila mwezi ufahamiane na angalau wanawake wawili

Umesahau kutueleza tutapambana vipi na text “baby luku imeisha”..”yaani nahisi homa nataka kwenda hospital afu bima sioni”.

Wanawake ni gharama
Ukiona hivyo unawashobokea sana .. kujipendekeza na kujishusha..

Niigg@z waliochill hawasumbuliwi wala kujaribiwa hovyo
 
Wakulungwa tunakuaga na namba za mameneja wa bar

Wakubwa mshanielewa[emoji4]
 
Labda niwe sina kazi nyingine aisee.

Gambe namuachia nani atii, ukiwa mtu wa gambe wala husumbuki na maformula meengi kama mkemia vile. We nenda sehemu yenye totoz uenjoy.

Hizo njia hutumiwa na wasio na pesa kukwepa vizinga. Ila shoort cut ni TAFUTA PESA.
Umeongea Kama mkongwe,

Ni wachache Sana watakuelewa[emoji4][emoji106]
 
Ukiona hivyo unawashobokea sana .. kujipendekeza na kujishusha..

Niigg@z waliochill hawasumbuliwi wala kujaribiwa hovyo
Tupo pamoja mkuu japo Kuna watu wanaona miujiza
 
Wakulungwa tunakuaga na namba za mameneja wa bar

Wakubwa mshanielewa[emoji4]
Hii mbinu ya kula mademu wa meneja ni sio ....kwanza inabidi ujenge urafiki na huyo meneja , na urafiki haujengwi kwa maneno
 
Punguza kuwachota wenzio kwenye uzi wa Ajira za TAKUKURU[emoji23][emoji1787][emoji23]
Haya majukwaa ni huru na Kuna comments 2000 karibia yangu ndio umeona mbaya, punguza ujuaji basi mkuu, maana lolote ninalojua nitawajuza tu hata haya mabadiliko najua na zaidi, so usini limit Cha ku comments humu, Niko huru ka wengine na wewe njoo uchote watu hujanyimwa
 
Halafu limekujaa rohoni Hadi ukaja humu, mbona Niko majukwaa mengi humu, usichukulie vitu negative be positive
 
Huyu anataka kidubwasha ila sema anazunguka Sana ili akipate [emoji38][emoji38]
 
Haya majukwaa ni huru na Kuna comments 2000 karibia yangu ndio umeona mbaya, punguza ujuaji basi mkuu, maana lolote ninalojua nitawajuza tu hata haya mabadiliko najua na zaidi, so usini limit Cha ku comments humu, Niko huru ka wengine na wewe njoo uchote watu hujanyimwa
tawile
 
Huyu anataka kidubwasha ila sema anazunguka Sana ili akipate [emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23]inaweza kuwa kweli maana anazunguka sana kuliko maelezo
 
Back
Top Bottom