kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Ukileta nitag mkuuStay tuned kesho nawaletea uzi wa namna ya kuepuka mizinga bila kuvunja mahusiano
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukileta nitag mkuuStay tuned kesho nawaletea uzi wa namna ya kuepuka mizinga bila kuvunja mahusiano
Ukiona hivyo unawashobokea sana .. kujipendekeza na kujishusha..Umesahau kutueleza tutapambana vipi na text “baby luku imeisha”..”yaani nahisi homa nataka kwenda hospital afu bima sioni”.
Wanawake ni gharama
Punguza kuwachota wenzio kwenye uzi wa Ajira za TAKUKURU😂🤣😂Ushauri wako ndio utawatanguliza kuzimu, ushauri huu haufai
Umeongea Kama mkongwe,Labda niwe sina kazi nyingine aisee.
Gambe namuachia nani atii, ukiwa mtu wa gambe wala husumbuki na maformula meengi kama mkemia vile. We nenda sehemu yenye totoz uenjoy.
Hizo njia hutumiwa na wasio na pesa kukwepa vizinga. Ila shoort cut ni TAFUTA PESA.
Ukiona hivyo unawashobokea sana .. kujipendekeza na kujishusha..
Niigg@z waliochill hawasumbuliwi wala kujaribiwa hovyo
Haya majukwaa ni huru na Kuna comments 2000 karibia yangu ndio umeona mbaya, punguza ujuaji basi mkuu, maana lolote ninalojua nitawajuza tu hata haya mabadiliko najua na zaidi, so usini limit Cha ku comments humu, Niko huru ka wengine na wewe njoo uchote watu hujanyimwaPunguza kuwachota wenzio kwenye uzi wa Ajira za TAKUKURU[emoji23][emoji1787][emoji23]
Halafu limekujaa rohoni Hadi ukaja humu, mbona Niko majukwaa mengi humu, usichukulie vitu negative be positivePunguza kuwachota wenzio kwenye uzi wa Ajira za TAKUKURU[emoji23][emoji1787][emoji23]
tawileHaya majukwaa ni huru na Kuna comments 2000 karibia yangu ndio umeona mbaya, punguza ujuaji basi mkuu, maana lolote ninalojua nitawajuza tu hata haya mabadiliko najua na zaidi, so usini limit Cha ku comments humu, Niko huru ka wengine na wewe njoo uchote watu hujanyimwa
Una mambotawile
[emoji23][emoji23][emoji23]inaweza kuwa kweli maana anazunguka sana kuliko maelezoHuyu anataka kidubwasha ila sema anazunguka Sana ili akipate [emoji38][emoji38]
Hiyo ni miguu yakoNa sisi wanawake kwa mwezi tufahamiane na wanaume 15 au 10
Hiyo ni miguu yako
hebu simama tukuoneEnhe
hebu simama tukuone