Mwanaume kama hauli vizuri ukashiba basi kuna hatari kubwa Mbele yako

anti-Glazer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2023
Posts
291
Reaction score
482
Sifa kuu ya mwanaume ni kuwa na nguvu. Unahitajika kuwa na nguvu kubwa Ili ukatatute ridhiki, siku hizi maarufu kama hela, ndio ridhiki yanyewe.

Ukiwa na nguvu utafanya kazi Kwa umakini na kwa muda unaotakiwa. Ukiwa dhaifu hutamaliza majukumu yako sawasawa.

Familia inakutegemea utumie nyuvu kukamilisha mambo mengi, hata kula tunda lako utatakiwa utumie nguvu zako ukiwa unafurahia mbususu.

Ulinzi binafsi na familia. Mambo mengi energy power inahitajika.

Kiafya matatizo mengi sana kwenye familia za mke na mume wake yanaanzia kwenye kuwa na nguvu kidogo. Wakati wakupiga mashine, huwezi kumpelekea moto mwanamke kama huwezi ku sustain nguvu hadi mwisho wa show.

Hapa ndipo unapigiwa show za nje, na huwa tamu kwelikweli. Huwa wanasema mke wa mtu sumu, ni kwa sababu sumu hiyo ni tamu sana.
 
"Hapa ndipo unapigiwa show za nje, na huwa tamu kwelikweli. Huwa wanasema mke wa mtu sumu, ni kwa sababu sumu hiyo ni tamu sana".
# Wewe hizo nguvu unazo?? Tuanzie hapo.
 
Ungetaja na hivyo vyakula kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…