Mwanaume kama huna hii full package, kuchapiwa ni lazima

Wanaume wanaowatukana wake zao eti MPUMBAVU,unamwambia mkeo mpumbavu,wewe unajiona mjanja sana,amekuzalia,anatunza family alafu unamtuka,mmmmmchi wananikera sana
Sio kila mwanamke afaa kuwa mke.
 
Sijawahi kujua mwanamke anataka nini ili aridhike,hawa viumbe ni shida
 
Kila mwanamke ili atulie kabisa,anaitaji wanaume wa aina tatu.
1.Anaeujaza moyo wake,yaani hata akinywa maji anamuona mwanaume anaempenda yaani wanaita true love wake

2 .Mwanaume muhongaji wenyewe wanaita buzi yaani buzi linaclear majanga yote incase of emergency miamala inasomeka fastafasta Mpesa ATM etc.

3.Mume wa kumuweka ndani na kulea watoto wa kumpa home nadhani naeleweka kila mwanamke anatamani ajulikane nae kwa mama fulani kwa mama fulani kutokana na hali ya maisha inakuwa ngumu mwanaume mwenye sifa zote hizo kupatikana akipatikana namba moja utakuta hana hata mia na mpango wa kuoa hana wala nini.

Akipatikana namba mbili unakuta hapendwi wala sio muoaji ila na mtu kukataa misaada na hali ya uchumi ilivo nayo sio rahisi akipatikana mume nae unakuta majanga hapendwi mtu kaamua kuolewa tu umri unasonga nk, ila hela hana hata ada ya watoto ni kwa msaada wa vicoba kwa jina la mama inabidi tu mama awe na namba mbili,buzi la kumsaidia.Nawashauri wanaume mjipange sana mkiwajibika wanawake wote watatulia hawatakuwa michepuko tena ni aibu sana baba upo ndani na mkeo kumbe ni mchepuko wa mtu!

Wekend njema jamani.Ramadhan kareem!
@Miss natafuta unachezea bahati.
 
Mara nyingi unapohonga mwanamke, hua nae anaenda kuhonga maana kuhonga mtu unahonga usipopendwa
 
Wanaume wanaowatukana wake zao eti MPUMBAVU,unamwambia mkeo mpumbavu,wewe unajiona mjanja sana,amekuzalia,anatunza family alafu unamtuka,mmmmmchi wananikera sana
Watu wanawatia vilema, wewe kuambiwa pumbavu unalialia!? Ukiona huwezi kuwa chini ya mamlaka ya mumeo ujue ndoa sio staili yako. Wachomaji wa pembeni ndio mabingwa wa kuwapumbaza wanawake wasioelewa ndoa ni nini kwa zawadi za vichupi, pipi, sidiria, kuitwa baby, halafu mwanamke na akili zake kabisa anaona investment aliyowekeza muda mrefu kwenye familia yake inazidiwa na chupi ta 1,000/- na kuliwa juu. Hii sio spirit ya ukahaba kweli? Baadaye ukiachika hao "mabebi" uchwara watakaa mbali nawe kwa sababu ulikuwa mtamu wakati unaye baba mlishi, ugumu wa maisha utakaoupata ndio sasa unapaswa kulinganisha na ugumu wa kuvumilia hayo maneno hapo juu, na kukosa zawadi za chupi, huku ukipewa kila kitu ukitakacho.

Binafsi mke wangu akitenda haya, sina jinsi, HAKIKA talaka inamhusu. Mimi ni mkristo, lakini ndoa za vodafasta hapana. Tusipeane magonjwa ya moyo. Huyo kibaka wa pembeni pia ni muhimu akae tayari kwa sababu there must be a payback, haiwezekani nikamwacha hivihivi. Ukijua A wenzio wanajua E, jino kwa jino. Expect no mercy.
 
ndio maana utaendelea tu kubakia kuwa Miss Natafuta, kwa mindset ya namna hii, utamegwa tu bila kuwa na future nao na utawalaumu sana wanaume
 
Wanaume wanaowatukana wake zao eti MPUMBAVU,unamwambia mkeo mpumbavu,wewe unajiona mjanja sana,amekuzalia,anatunza family alafu unamtuka,mmmmmchi wananikera sana
halafu pembeni mimi nakuita majina mazuri una akili watoto wako wazuri nasema wanawake sdio wapumbavu kabisa ni werevu wanahitaji kupendwa etc. mwisho wa siku utanipa tu tunda hata kama hukutegemea kama ndani utazidi kuitwa mpumbavu...kila binadamu ana kiwango cha uvumilivu
 
Kosa kubwa mwanaume unaloweza kufanya katika maisha ni kutaka kumfurahisha mwanamke ili eti asichepuke. Huo ni upunguani wa hali ya juu. Hawa viumbe unaweza ukafanya yote na akagongwa nje kirahisi tu. Mimi falsafa yangu rahisi sana. Mwanamke wangu namuweka wazi kuwa akigongwa ntajua tu na nikijua mkataba unaisha hapo. Imeshatokea na nikatekeleza. Uzuri wanaume huwa haturudi nyuma. Wanawake wote hawa halafu niumize kichwa na slut mmoja, nah man. Natafuta pesa kwa msuli, akili na maarifa yatosha, sio some woman. fcuk that.
 
Kila mwanamke ili atulie kabisa,anaitaji wanaume wa aina tatu.
1.Anaeujaza moyo wake,yaani hata akinywa maji anamuona mwanaume anaempenda yaani wanaita true love wake

2 .Mwanaume muhongaji wenyewe wanaita buzi yaani buzi linaclear majanga yote incase of emergency miamala inasomeka fastafasta Mpesa ATM etc.

3.Mume wa kumuweka ndani na kulea watoto wa kumpa home nadhani naeleweka kila mwanamke anatamani ajulikane nae kwa mama fulani kwa mama fulani kutokana na hali ya maisha inakuwa ngumu mwanaume mwenye sifa zote hizo kupatikana akipatikana namba moja utakuta hana hata mia na mpango wa kuoa hana wala nini.

Akipatikana namba mbili unakuta hapendwi wala sio muoaji ila na mtu kukataa misaada na hali ya uchumi ilivo nayo sio rahisi akipatikana mume nae unakuta majanga hapendwi mtu kaamua kuolewa tu umri unasonga nk, ila hela hana hata ada ya watoto ni kwa msaada wa vicoba kwa jina la mama inabidi tu mama awe na namba mbili,buzi la kumsaidia.Nawashauri wanaume mjipange sana mkiwajibika wanawake wote watatulia hawatakuwa michepuko tena ni aibu sana baba upo ndani na mkeo kumbe ni mchepuko wa mtu!

Wekend njema jamani.Ramadhan kareem!
Hakuna jipya
 
Hamriziki nyie
 
Back
Top Bottom