Mwanaume kama huna pesa kila message ikiingia moyo unadunda

Mwanaume kama huna pesa kila message ikiingia moyo unadunda

Showmax

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2022
Posts
6,592
Reaction score
12,707
Wasalamu, mwanaume kama huna pesa huna tofauti na gari isiyo na mafuta. Mwanaume ndie ATM ya familia.
Yaani ukiona tu message yeyeto tu imeingia kwenye simu kabla ya kufungua tu simu uisome mawazo elf 10 yashakujaa kichwani, unawaza uenda ni message ya mwenye duka,marejesho ya mkopo,kodi, kuombwa vocha.

Unapokosa pesa na confidence upungua.
 
Badirisha line mkuu, wewe unazijua zile meseji za marejesho ya mkopo wa Voda SONGESHA full vitisho unaweza ukazima, unafungua meseji unaisoma hadi unajilaumu kwanini ulifungua ukaisoma
 
Wew mwoga tu si maden na ndo tunawapigia wanao tudai unatanguliza sound kabla hata hajakuuliza
 
Watu tuna madeni na kila siku tunawapiga wanaotudai sound

Ova
 
Back
Top Bottom