Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Aisee wanakusakamaKwa humu jf ziwaendee wale wanaume wanaojifanya ujuaji mwingi na dharau zisizo na kichwa wala miguu tena kwa mtu ambaye hata humjui zaidi ya kuona maandishi tu.
Punguzeni kwani huwa tunawatoa kwenye kundi la wanaume kamili.