Mwanaume kamili hakikisha unakuwa addicted na mojawapo wa vitu vifuatavyo!

Mwanaume kamili hakikisha unakuwa addicted na mojawapo wa vitu vifuatavyo!

Duh sipo namba 4 tuu aroooh!... huko kwengine kote sitoboi.
 
Addiction yangu ni jukwaa la michezo haswa thread zinazowahusu utopolo -ve
 
Kwa mimi labda namba 6... hapo.... huwa nafsi yangu inasuuzika sana
 
Kwangu mie vyoote ivo ulo taja! lkn kuna vingine badoo vinahitajika mfano.... napenda sana kupiga chabo wkt wa majamboz ya watu!! hali ilikuwa mbaya zaidi wkt tukivinjari usiku kichawi! weeee!

ila kuna watu asee?? wana misambwanda si ya Dunia hii!...ila nasie tulikuwa tunajilia kichawi chawi tu!! Onyo kwa wadada ukiota unaliwa papuchi ni kweli usizembee!! njia nzuri lala na kijimkaa cha kuokota njiani, kidogoo!
 
Dah.....inategemea unekuja Duniani kufanya nini.......
 
Addiction Ni kitu ambacho kamwe hakiwezi epukika katika Karne hii ya 21.In one way or the lazima kila mwanadamu especially wanaume atakuwa addicted na mojawapo ya vitu vifuatavyo;

1.Betting & gambling
2.Keyboard warrior( internet)
3.Masterbation( punyeto & kujichua)
4.Sigara/ bangi/shisha
5.Pombe
6.Ngono

Binafsi nipo addicted Sana na kubet mikeka,Yaani kwa wiki ninaweza bet Mara 5,sema kushinda hela yenywewe ndio kazi😂
Afu pia nipo addicted na internet,Yaani Mimi ni keyboard warrior hatari Sana.Ni Bora nikose mengine yote Ila nisikose hela ya kuunga bundle kwenye simu ili nibrowse.

Kwa Kama wewe Ni njemba kamili afu haupo addicted na mojawapo ya vitu nilivyovitaja hapo juu Basi jiongeze haraka usikae kizembe bana.Tafuta kitu Cha kuwa addicted nacho bana😂

Kwa ambayo tayari mko addicted chama lako no gani hapo juu?
Naona wengi wanakupinga ila kwa jicho la tatu hiyo ndo hali halisi, kila binadamu ana addiction yake hata kama sio negative addiction japo hizi zote ulizotaja ni zimeegemea kwenye negative lakini kwenye duani ya leo ndo zimetawala
 
Back
Top Bottom