Mwanaume kamili hakikisha unakuwa addicted na mojawapo wa vitu vifuatavyo!

Duh sipo namba 4 tuu aroooh!... huko kwengine kote sitoboi.
 
Addiction yangu ni jukwaa la michezo haswa thread zinazowahusu utopolo -ve
 
Kwa mimi labda namba 6... hapo.... huwa nafsi yangu inasuuzika sana
 
Kwangu mie vyoote ivo ulo taja! lkn kuna vingine badoo vinahitajika mfano.... napenda sana kupiga chabo wkt wa majamboz ya watu!! hali ilikuwa mbaya zaidi wkt tukivinjari usiku kichawi! weeee!

ila kuna watu asee?? wana misambwanda si ya Dunia hii!...ila nasie tulikuwa tunajilia kichawi chawi tu!! Onyo kwa wadada ukiota unaliwa papuchi ni kweli usizembee!! njia nzuri lala na kijimkaa cha kuokota njiani, kidogoo!
 
Dah.....inategemea unekuja Duniani kufanya nini.......
 
Naona wengi wanakupinga ila kwa jicho la tatu hiyo ndo hali halisi, kila binadamu ana addiction yake hata kama sio negative addiction japo hizi zote ulizotaja ni zimeegemea kwenye negative lakini kwenye duani ya leo ndo zimetawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…