Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Hii kitu 'K' haijarishi wewe ni mzungu? "Kwasababu nimeshiriki project nyingi za wazungu wakija huku wanakuwa marimbukeni mbele ya "k". Hii 'K' kama wewe ni kijana unajitafuta kuwa makini nayo. Mbele ya hii kitu hakuna ulokole! Mimi ni mlokole tangu kitambo lakini niliwahi kupitia changamoto ya hii kitu namshukuru Mungu nilioa Piss kali mpaka sasa sijutii!.
Chakufanya tumia rasilimali zako zoooote kama ni akili, pesa, muda, n.k., tafuta "K" itakayokonga moyo wako! Ukishaipata iingize ndani na baada ya hapo 'IFUNGE KWA NGUVU ZAKO ZOOTE KAMA NI ZA MIZIMU, IBADA, MASHETANI, nk, ili uendelee kuimudu! Vinginevyo shetani atakunyang'anya! kwasababu katika dunia hii, hakuna kitu kitaendelea kukusumbua mpaka unarudi 'udongoni' zaidi ya 'K'. Shetani hapo ndipo alipoweka kiti chake cha enzi! Dhambi iliingia duniani kupitia mwanamke! Uwe na uhakiki kila penye 'K' shetani yupo! UMENISIKIA??? Okay!!!! Ukihishiwa mafuta, tukutane "shell"