Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,647
- 23,282
Ka uno lipo we lilete, mbona kuleta propagandaAu hupendi mume anayenengua aka kinengunengu aka kiuno feni?
Ka uno lipo we lilete, mbona kuleta propagandaAu hupendi mume anayenengua aka kinengunengu aka kiuno feni?
Na wengine mtakua magogo au sio...Hadi akikatisha mbele yako unajisemea dah!..limjamaa linanengua kinomanoma aka machachari!
kiti kipi hicho?Wamepambana sana lakini wapi.
Kiti kimeenda usicheze na kanisa