Mwanaume kosea yote, ila usikosee kuzaa watoto wote kwa mwanamke moja

Suali lako ni irrelevant mkuu
Chief ni kosa kutumia monotype judgement kwa kutumia mhusika mmoja..sikatai kuna wakati tunajikuta tumepata wenza pasua kichwa ila hili lisitufanye tutoke kwenye misingi yetu...nimeshuhudia migogoro mingi sana kwenye ugawanaji wa mirathi pale mwanaume anapozaa na eanawake tofauti tofauti.
 
Babu una shida mahali kuna mchangiaji mmoja amenena vizuri,
👉Fanya scanning ya Familia husika
👉Fanya scanning ya marafiki zake
👉Nendeni mkapime

Lakini mwisho wa yote Mungu ndo anapanga
 
Huyo mstaafu wako sijui mzee wako ndiyo sample yako kwa aina ya watoto ambao amewapateni?
 
Mkuu katika kugawana mali ata wote wangetoka kwa mama moja kugombana kuko pale pale, hapo nimetoa mfano moja ila kuna mifuano lukuki ya aina hiyo......
 
Hata wanawake wana mentality ya kupata watoto tofauti kwa baba hata kwa siri hufanya hivyo ili kupata mtoto mwenye akili tofauti na baba mwenye mke. Hutesti mitambo yao nje ya ndoa ili kuingiza ingizo jipya na hasa kama baba mwenye mke ni dunya huletewa uzao mwingine bomani mwake wenye akili na maarifa mengi
 
Mkuu katika kugawana mali ata wote wangetoka kwa mama moja kugombana kuko pale pale, hapo nimetoa mfano moja ila kuna mifuano lukuki ya aina hiyo......
Wape elimu watoto, mali andikia watoto yatima.
 
Kama Husein Obama alivyowapa wamarekani zawadi ya Rais.
 
Oa mke wapili uzae nae kwa usalama wako, usizae na bar maid au mama tilie watoto kufuata nyao za mama zao.
Siyo kweli. Diamond Platnums huyo hapo mamake hana mbele wala nyuma, lkn yeye katusua.

Mwanaume kutafuta mke mwenye unafuu wa maisha ni uwoga wa maisha.
 
Wewe ni.mjinga kabisakabisa
 
Unachanganya elimu na akili
 
Ni kweli do not put all eggs in one busket
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…