Mwanaume kosea yote, ila usikosee kuzaa watoto wote kwa mwanamke moja

Hoja yako.haina mashiko. Utakuja kugombanisha ukoo na kutesa watoto.wa watu.huku wewe.umeshalala kaburini
Kugombana kuko pale pale hata wa mama moja baba moja hugombana mpska kuuana, tamaa ya mali ni hulka ya mtu sio mzazi.
 
Ni kama vichaa kivipi? Hivi nyie watu huwa mnatumiaga nini kuandika upupu kama huu? Inakuaje scenario moja iwe sababu ya kuzaa hovyo kama mpumbavu?

Upuuzi kabisa.
 
Kamwe we mwanaume acha kuzaa zaa ovyo kama kuku kwenye hari ya kawaida unaona ni sawa lkn wacha niseme neno moja kuzaa watoto ovyo ovyo kwa mama tofauti huwa inakuja sana kuleta chuki na husda huko mbeleni ivyo kusababisha familia kuwa na mifarakano sana.
 
Kuna mambo mengine tuna ya puuzia ila la kuzaa watoto wako wote kwa mke moja ni hatari kuliko hatari zingine za kifamilia tukistaafu.

Kwa 70% watoto tunao zaa kuchukua gins nyingi upande wa mama zao, zikiwemo na tabia mbaya, kuna mstaafu moja hapa mtaani ana watoto 6, kwa mama moja ila watoto wote nikama vichaa na hiki kinasaba kimejichomoza kwa upende wa mke wake, kwa ufupi yule nikama hana mtoto, nyumba yake angefungua tu hospitali ya vichaa mental kiliniki.

Olewako we kijana uzae kwa mke moja utaisoma number kuna umri wa kuzaa na umri wa kulea tumia umri wako sasa hivi vizuri, sio kila mwanamke ni kutumia kinga.
Ushajikubalia kuwa kuzaa lazima, kwa nini?

Kuna wanaume wanataka kuzaa na wanawake 0.
 
Kuna mambo mengine tuna ya puuzia ila la kuzaa watoto wako wote kwa mke moja ni hatari kuliko hatari zingine za kifamilia tukistaafu.

Kwa 70% watoto tunao zaa kuchukua gins nyingi upande wa mama zao, zikiwemo na tabia mbaya, kuna mstaafu moja hapa mtaani ana watoto 6, kwa mama moja ila watoto wote nikama vichaa na hiki kinasaba kimejichomoza kwa upende wa mke wake, kwa ufupi yule nikama hana mtoto, nyumba yake angefungua tu hospitali ya vichaa mental kiliniki.

Olewako we kijana uzae kwa mke moja utaisoma number kuna umri wa kuzaa na umri wa kulea tumia umri wako sasa hivi vizuri, sio kila mwanamke ni kutumia kinga.
Wewe huna akili timamu. Gins ndo nini kwanza?.. Wewe usihalalishe Uasherati
 
Kuna mambo mengine tuna ya puuzia ila la kuzaa watoto wako wote kwa mke moja ni hatari kuliko hatari zingine za kifamilia tukistaafu.

Kwa 70% watoto tunao zaa kuchukua gins nyingi upande wa mama zao, zikiwemo na tabia mbaya, kuna mstaafu moja hapa mtaani ana watoto 6, kwa mama moja ila watoto wote nikama vichaa na hiki kinasaba kimejichomoza kwa upende wa mke wake, kwa ufupi yule nikama hana mtoto, nyumba yake angefungua tu hospitali ya vichaa mental kiliniki.

Olewako we kijana uzae kwa mke moja utaisoma number kuna umri wa kuzaa na umri wa kulea tumia umri wako sasa hivi vizuri, sio kila mwanamke ni kutumia kinga.
Nani kaelewa hii?😀😀😀😀
 
Kwahiyo nikosee kuweka malengo na kutafuta pesa, Nisiwe na nia ya mafanikio,,,,,,

Nikosee kutunza afya yangu, niingie kula madawa na kutumia pombe kali kila siku,,,,,,

Nikosee kuchagua watu wa kuhusiana nao "marafiki" , nikosee kuoa pia,,,,,,

Ila nisikose kuzalisha watoto wote kwa mke mmoja,,,,,,,,

Nashukuru kwa wazo zuri mkuu 😎
 
Ni kama vichaa kivipi? Hivi nyie watu huwa mnatumiaga nini kuandika upupu kama huu? Inakuaje scenario moja iwe sababu ya kuzaa hovyo kama mpumbavu?

Upuuzi kabisa.
We wataka uzi uujazwe mifuano tu ya matukio kama haya wengi wamelia kwa kuzaa kwa mke moja .
 
Back
Top Bottom