RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,189
- 1,690
Kua uyaone ndo tunayaona sas ya mtoa mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha how, ushaona wqtu 2 wanalima shamba moja,Viceversa is true
Unaonaje na mkeo akakuchanganyia mbegu na wanaume wenzako upate watoto wenye nasaba tofauti tofauti na zako?Kuna mambo mengine tuna ya puuzia ila la kuzaa watoto wako wote kwa mke moja ni hatari kuliko hatari zingine za kifamilia tukistaafu.
Kwa 70% watoto tunao zaa kuchukua gins nyingi upande wa mama zao, zikiwemo na tabia mbaya, kuna mstaafu moja hapa mtaani ana watoto 6, kwa mama moja ila watoto wote nikama vichaa na hiki kinasaba kimejichomoza kwa upende wa mke wake, kwa ufupi yule nikama hana mtoto, nyumba yake angefungua tu hospitali ya vichaa mental kiliniki.
Olewako we kijana uzae kwa mke moja utaisoma number kuna umri wa kuzaa na umri wa kulea tumia umri wako sasa hivi vizuri, sio kila mwanamke ni kutumia kinga.
Mbona kama haija nikaa akilini mkuu...🤔
Lakini pia vijana mnatumia muda mwingi kwenye kuwaza makatiko kuliko kuwaza namna ya kuoata pesa.