Mwanaume kosea yote, ila usikosee kuzaa watoto wote kwa mwanamke moja

Swala ni kwamba Kwenye ishu ya malezi mnatuachia Sana wanawake, ndani ya nyumba sauti ya baba hakuna. Mko bize na michepuko
 
1. Hakuna "genes" nyingi kwa upande mmoja kama unavyodai... Haipo. Mtoto atachukua nusu kila upande. Tabia ya sifa 1 itaizidi nyingine kutegemea na mpango.

2. Kuoa na kuolewa vizuri hutegemea historia ya familia husika.

3. Timing pia.
Unaweza ukakwepa kuendelea kuzaa na huyo mkeo ulioona mnazaa machizi. Ukaenda sehemu nyingine kumbe ni mtu mwingine ila asili yake anatoka ukoo uleule mkaendelea kuzaa machizi.

Unaweza kuzaa na wanawake tofauti na kila mtoto akawa na shida vilevile. Huyu chizi, yule zezeta, yule kule tahira n.k.. Mtoto ni zawadi.
Pia, kuna athari hutokea iwapo watoto uliozaa kwa wanawake tofauti wakwashindwa kushikamana.
 
Funguo iinayofungua makufuli mengi hutunzwa na kulindwa sana ila kufuli linalofunguliwa na funguo nyingi hutupwa kabisa
 
Unaonaje na mkeo akakuchanganyia mbegu na wanaume wenzako upate watoto wenye nasaba tofauti tofauti na zako?
 
Watoto hurithi pande zote. Kama mkeo ni wa kienyeji na wewe ni wa kisasa mtazaa broiler mix chotara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…