Mwanaume kudanga ni sawa?

mimi nna miaka 34 elimu sina kazi ngumu nafanya lakini kipato hakinisogezi popote zaidi ya kula na kuishi nakaa site ya mtu na sina mtoto mke wala mtu wakunisaidia
ivi wadau nikipata msichana anauwezo tukasaidiana maisha ntakua na kosea
Utakuwa unakosea. Imeandikwa: mwanaume atakula kwa jasho lake, na si kusubiri kuletewa
 
mimi nna miaka 34 elimu sina kazi ngumu nafanya lakini kipato hakinisogezi popote zaidi ya kula na kuishi nakaa site ya mtu na sina mtoto mke wala mtu wakunisaidia
ivi wadau nikipata msichana anauwezo tukasaidiana maisha ntakua na kosea
Unaishi wapi mkuu?
 
Uanaume wako itawekwa mfukoni kwake
 
Hakuna nguvu ya mwili itumikayo katika kumtafuta kadada.
Kumbe nilikuwa nakosea kukutafuta kutumia nguvu eeh? ndiyo maana toka mwaka jana unanizungusha

Eeeh nikutafute kwa nguvu ipi! akili?
 
Tumia ushawishi. Halafu, matokeo ya jasho lako mi ndo liniweke mjini.
 
mwanaume kudanga sio sawa ila mtoa mada ukidanga ni sawa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukinipatia unaweza nidanga
Hakuna mwanamke atakupa pesa yake kama tunavyowapa dunia nzima labda awe anakuhitaji zaidi ya unavyomhitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…