Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kudanga baadhi ya wanaume si ndio style yenu mpyaa mana mmewapita mpaka wanawake
HahhahaSasa haya ni matusi shunie...!!!
Hapo sawa, umesamehewa tayari.Hahhaha
Nisamehe jamani sirudii tena
Achana na mambo yote hayo unayoyawaza? , sote binadamu hakuna aliye kamilika...rudi nyumban kwanza kawaone wazeee au watu muhimu kwenye maisha yako, ,, maana maisha bila furahaa au baraka ya wazazi au walezi ni ngumu, ,, utaangaika sana nakujiuliza kwanini sifanikiwi kaka,, , kingine muombe mwenyezi mungu kwa kila hatua unayo piga., afya njema na azidi kukufanyia wepesi .,,mimi nna miaka 34 elimu sina kazi ngumu nafanya lakini kipato hakinisogezi popote zaidi ya kula na kuishi nakaa site ya mtu na sina mtoto mke wala mtu wakunisaidia
ivi wadau nikipata msichana anauwezo tukasaidiana maisha ntakua na kosea
kwani akiwa na huyo mwenzie ndo hatakula kwa jasho?Utakuwa unakosea. Imeandikwa: mwanaume atakula kwa jasho lake, na si kusubiri kuletewa