Mwanaume kudanga ni sawa?

Mwanaume kudanga ni sawa?

Kudanga baadhi ya wanaume si ndio style yenu mpyaa mana mmewapita mpaka wanawake
98% ya wanaume ni wadangaji hatarii' jaman hadi karahaaaaa na wanajua kuomba kwa kulialia kama visichana... khaaa xhefu sana sio siri.. mwanaume ukidanga jiandae kuambur rutiwa....😁😁😁
 
mimi nna miaka 34 elimu sina kazi ngumu nafanya lakini kipato hakinisogezi popote zaidi ya kula na kuishi nakaa site ya mtu na sina mtoto mke wala mtu wakunisaidia
ivi wadau nikipata msichana anauwezo tukasaidiana maisha ntakua na kosea
Hiyo avatar ni wewe?
 
Kusaidiana maisha sio kudanga
 
Back
Top Bottom