Teh teh... nani huyo?Huna lolote sema kuna mtu unaogopa macho yake
Mke mwenza maana tunajaa costaTeh teh... nani huyo?
Nishazeeka sasa hivi nimeacha hayo.Mke mwenza maana tunajaa costa
Siyo weusi ni country boy mkuu , kwenye ile ngoma yupo ,na k Jones,s2kizzyMaana halisi ya kudanga ni watu ambao wana nyota ya DUDU by Weusi
98% ya wanaume ni wadangaji hatarii' jaman hadi karahaaaaa na wanajua kuomba kwa kulialia kama visichana... khaaa xhefu sana sio siri.. mwanaume ukidanga jiandae kuambur rutiwa....😁😁😁Kudanga baadhi ya wanaume si ndio style yenu mpyaa mana mmewapita mpaka wanawake
Hiyo avatar ni wewe?mimi nna miaka 34 elimu sina kazi ngumu nafanya lakini kipato hakinisogezi popote zaidi ya kula na kuishi nakaa site ya mtu na sina mtoto mke wala mtu wakunisaidia
ivi wadau nikipata msichana anauwezo tukasaidiana maisha ntakua na kosea
Nishazeeka sasa hivi nimeacha hayo.
Wasikutishe hawa wqnawake jitafutie kadada kenye pesa ujilie maisha.duuh
[emoji4][emoji4][emoji4]huwezi katwa wewe.Haha kwa hiyo nimebaki peke yangu au mimi pia nimekatwa
dar ni moja MkuuOouh....hapo nimewaelewa sasa.
Na haijalishi unaishi wapi Dar? Vingnguti, temeke, mbezi, kariakoo, gomz, kiwalani, masaki...?
Unafaa kwa matumizi yangu binafsi
mimi nna miaka 34 elimu sina kazi ngumu nafanya lakini kipato hakinisogezi popote zaidi ya kula na kuishi nakaa site ya mtu na sina mtoto mke wala mtu wakunisaidia
ivi wadau nikipata msichana anauwezo tukasaidiana maisha ntakua na kosea