Mwanaume Kufanya Mapenzi mbele ya Mwanaume Mwenzako ni Kudhalilishana

Status
Not open for further replies.
Ni kweli, lakini ndio Hadi mbele ya mgeni kweli?
Mgeni we hapo kwenye geto ulifata nini kwani?? Ni kusalimia tu???

Yani umefunga safari kwenda kumsalimia bro wako ambae yeye pia huwa hapendi kukaa na watu wa rika lake bali watoto??? Na unasalimia na kulala huko???

we lazma....
images (7).jpeg
 
Katikati ya maandishi yako kuna vitu nimevihisi.....nimejiuliza na viswali.

1: wewe na huyo bro unaemfata mmetofautiana sana umri ulikua la pili ye la saba, maana yake sio age mate wako, sasa huo urafiki wenu unaunganishwa na nini???? Mbona hata story zenu ni za watu wawili tofauti???

2: we ni mtoto wa kiume, ila mbona una pigo za kike....unaogopa sana wanawake, na haupendi kabisa madem.

3: sorry kwa kukuwazia hivi yani una kau-innocence flani ambako huwa wanako gays. Gays wengi huwa wanasound hivyo

4: hapo geto ulikua unaenda kufanya nini??

5: kutokana na hiyo namba tatu hapo juu, possible jamaa kaamua atmbe mbele yako kukuonesha kuwa mwanaume unatakiwa kula na sio kuliwa, na kama we kweli mwanaume rijali jamaa kula mzigo mbele yako ingekustimulate tu.

Mwisho nasisitiza namba 3 na kama nimekuwazia tofauti, basi nsamehe bure

Gazeti kwa gazeti, ubaya ubwela.....
Ok, ngoja nikupe jibu moja lenye majibu yote,

Kwanza kabisa, mtaani kwetu (nyumbani) Mtu wa kwanza kabisa kusoma hadi secondary alikuwa ni huyo jamaa ambae nilienda kumtembelea.

Pili, kwa vijana wa Sehemu ambayo mimi naishi huwa tuna kawaida ya kuulizia vitu kwa vijana wakubwa ambao wanatutangulia umri, kwahiyo huyo jamaa wakati anaingia form one mimi niko darasa la 3, huyo jamaa ndio alikuwa mtu wa kwanza kufika secondary kijijini kwetu, mimi hadi kutaka kwenda kumtembelea nilikuwa na umri wa miaka zaidi ya 18(wanasema adult),
Kijijini kwetu hakuna wasichana,
Mimi sio bikra,
Nilishawahi kufanya mapenzi na sio mara 1 nikiwa secondary,
Yule jamaa ndio alikuwa rafiki yangu wa kitambo sana na nilienda kumtembelea kwa sababu alikuwa anafanya kazi ambayo mimi nipo interested nayo, so nikataka nikajifunze naadhi ya vitu japo kwa macho kabla sijaenda mahali fulani,

INNOCENT sijui maana yake, em nitafsirie kwa kiswahili,

Yule jamaa ambae nilimkuta kule alikuwa anafanya kazi na huyo bro, ila nahisi alikasirishwa na kitendo cha dem wake kuwa na mdomo ko akataka amkomoe kiaina, alafu nimeandika hivi kaasababu kwetu amnaga hivi vitu vya kulana ovyoovyo, lakini kwa sasahivi ndio nimeanza kujua kumbe kuna watu wanaona ni kawaida, kulingana na wazinzi nnaoishi nao wao wanaona kawaida, ila kuna wakati mtu ukikulia mazingira fulani kuna baadhi ya tabia zinamiss tu yaani unakuwa tofauti kidgo
 
Katikati ya maandishi yako kuna vitu nimevihisi.....nimejiuliza na viswali.

1: wewe na huyo bro unaemfata mmetofautiana sana umri ulikua la pili ye la saba, maana yake sio age mate wako, sasa huo urafiki wenu unaunganishwa na nini???? Mbona hata story zenu ni za watu wawili tofauti???

2: we ni mtoto wa kiume, ila mbona una pigo za kike....unaogopa sana wanawake, na haupendi kabisa madem.

3: sorry kwa kukuwazia hivi yani una kau-innocence flani ambako huwa wanako mashoga. Gays wengi huwa wanasound hivyo

4: hapo geto ulikua unaenda kufanya nini??

5: kutokana na hiyo namba tatu hapo juu, possible jamaa kaamua atmbe mbele yako kukuonesha kuwa mwanaume unatakiwa kula na sio kuliwa, na kama we kweli mwanaume rijali jamaa kula mzigo mbele yako ingekustimulate tu.

Mwisho nasisitiza namba 3 na kama nimekuwazia tofauti, basi nsamehe bure

Gazeti kwa gazeti, ubaya ubwela.....
Uko wapi....
 
Ok, ngoja nikupe jibu moja lenye majibu yote,

Kwanza kabisa, mtaani kwetu (nyumbani) Mtu wa kwanza kabisa kusoma hadi secondary alikuwa ni huyo jamaa ambae nilienda kumtembelea.

Pili, kwa vijana wa Sehemu ambayo mimi naishi huwa tuna kawaida ya kuulizia vitu kwa vijana wakubwa ambao wanatutangulia umri, kwahiyo huyo jamaa wakati anaingia form one mimi niko darasa la 3, huyo jamaa ndio alikuwa mtu wa kwanza kufika secondary kijijini kwetu, mimi hadi kutaka kwenda kumtembelea nilikuwa na umri wa miaka zaidi ya 18(wanasema adult),
Kijijini kwetu hakuna wasichana,
Mimi sio bikra,
Nilishawahi kufanya mapenzi na sio mara 1 nikiwa secondary,
Yule jamaa ndio alikuwa rafiki yangu wa kitambo sana na nilienda kumtembelea kwa sababu alikuwa anafanya kazi ambayo mimi nipo interested nayo, so nikataka nikajifunze naadhi ya vitu japo kwa macho kabla sijaenda mahali fulani,

INNOCENT sijui maana yake, em nitafsirie kwa kiswahili,

Yule jamaa ambae nilimkuta kule alikuwa anafanya kazi na huyo bro, ila nahisi alikasirishwa na kitendo cha dem wake kuwa na mdomo ko akataka amkomoe kiaina, alafu nimeandika hivi kaasababu kwetu amnaga hivi vitu vya kulana ovyoovyo, lakini kwa sasahivi ndio nimeanza kujua kumbe kuna watu wanaona ni kawaida, kulingana na wazinzi nnaoishi nao wao wanaona kawaida, ila kuna wakati mtu ukikulia mazingira fulani kuna baadhi ya tabia zinamiss tu yaani unakuwa tofauti kidgo
Darasa la 3 unaenda kuuliza nini kwa huyo jamaa wa secondary???🤔🤔🤔

Kijijini kwenu hakuna wasichana? Mpo wanaume tupu?
 
2: we ni mtoto wa kiume, ila mbona una pigo za kike....unaogopa sana wanawake, na haupendi kabisa madem.

3: sorry kwa kukuwazia hivi yani una kau-innocence flani ambako huwa wanako mashoga. Gays wengi huwa wanasound hivyo
Hamna, kuna majamaa wanaogopa wanawake tu, tena unakuta wanaogopa watu wote, hadi vijana, wazee, watoto...

Ni social anxiety

Kuna mashoga wengi tu nimewaona wapo kawaida sana huwezi kuwashtukia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom