Mwanaume Kufanya Mapenzi mbele ya Mwanaume Mwenzako ni Kudhalilishana

Mwanaume Kufanya Mapenzi mbele ya Mwanaume Mwenzako ni Kudhalilishana

Status
Not open for further replies.
Wamama hawafundishi haya mambo ya kiutu uzima ni mambo ya siri
Wazazi wangu watakushauri kila kitu, watakushauri usivute bangi, usiwe jambazi, usiue watu, usijilipue, lakini linapokuja swala la sexuality utajua mwenyew, sijui uwe na wapenzi tisa na machangudoa nane utajua wewe na maisha yako.
 
Sipendelei wanawake, nawapenda sana hasa weupe, ila siwezi kutongoza ovyo ovyo, nalinda brand wanaume tumebaki wachache, ukila sana wanawake unatoka kwenye kundi la wanaume, mwanaume sio malaya wala mzinzi, mwanaume anajiheshimu, mwanaume sio bishoo wa kujiringishia kuwa na madem wengi, mwanaume ni yule nafanya kazi na kupata pesa ambayo mimi napanga naifanyia nini, mwanaume natakiwa nikipita madem waambizane "Ushawahi kula za yule" na majibu yao yawe hapana, mwanaume hatakiwi kuwa na mazoea ya ovyoovyo, haiwezekani nyuchi zote za madem uzijue kama mwanaume, mwanaume hutakiwi kujulikana ovyoovyo, mwanaume hafagilii upumbavu kama ule, ngono kwa mwanaume inaweza isiwepo hata kwenye top 3 ya vitu ambavyo anawaza kwa siku atimize siku moja.

Naweza kuwaza ngono au kumtamani mtu lakini najikaza kiume, najua nikifanya mara moja itanichukua muda kupumzika maana inavutia. So tunajitahidi tu kujizuia ili kuokoa uanaume.
Nimesoma hiyo sentesi yako ya kwanza. Imenipa tabu sana kuimaliza kwani ni ndefu kupita maelezo. Sentesi ya pili na ya tatu zipo vizuri.
 
Chuo roommate wangu aligegedwa na jamaa me nimelala Tu hapo.ila jamaa alikuwaga anakojoa sekunde moja ni nyingi yaani..hata sekunde haiishi tulikiwa tunaishi na jamaa tunakula Tu hela zake.maana kibamia pro max plus kukojoa mwendo wa sekunde.
Unaona sasa eeeeh, endeleeni kuwagegeda mpaka waishe, ila mtajua siku mkikutana na wakuda
 
Kama mama wa mtoto wa kiume roho imeniuma sana kwa hili bandiko.😭
Una umri gani mpendwa?
Una tatizo dogo.
Sijui hata nikushauri nini likutoke ila hakikisha unaacha kuogopa wasichana.
Sasa kama wewe si mtu wa madem na huwatak unataka nini jamani?Namuonea huruma mama yako😭 na hao wote wanaosex mbele yako wanataka kukufanya jitafakari sana na chukua hatua ubadilike.

Hakuna kabinti kamewahi kukuvutia?

Nahisi wewe ni gay unajitangaza kijanja ila kama sio basi usipokuwa makini utaharibikia hapa JF coz najua wajaa laana washajaa PM kwako.
 
Una umri gani kijana??
Kutopenda mbunye kabisa na hizo aibu za kiwango cha sgr la kichina(1000km/hr) ni hatari kwa afya ya kizazi chako.

Mpaka jamaa anakudharau hivyo hata wewe umeruhusu kudharaulika, how comes jamaa anaingia na demu wake na wewe hata hujiongezi kuwapisha..

Na ile umefika tu, ulipojua jamaa hamuendani kiitikadi mbona chap tu ungemkwepa na angekuheshimu sana. Ila shida yako wewe ni kugandana na mwenyeji wako kama vile mtoto mdogo.

Mwisho kabisa tafuta hela ndgu.
 
Chuo roommate wangu aligegedwa na jamaa me nimelala Tu hapo.ila jamaa alikuwaga anakojoa sekunde moja ni nyingi yaani..hata sekunde haiishi tulikiwa tunaishi na jamaa tunakula Tu hela zake.maana kibamia pro max plus kukojoa mwendo wa sekunde.
huyo jamaa Rayns amependa hii kauli, mwanaume wa kweli hawezi kutoa mpk imoji ya vikopa, anashida mahali.
 
Kama mama wa mtoto wa kiume roho imeniuma sana kwa hili bandiko.😭
Una umri gani mpendwa?
Una tatizo dogo.
Sijui hata nikushauri nini likutoke ila hakikisha unaacha kuogopa wasichana.
Sasa kama wewe si mtu wa madem na huwatak unataka nini jamani?Namuonea huruma mama yako😭 na hao wote wanaosex mbele yako wanataka kukufanya jitafakari sana na chukua hatua ubadilike.

Hakuna kabinti kamewahi kukuvutia?

Nahisi wewe ni gay unajitangaza kijanja ila kama sio basi usipokuwa makini utaharibikia hapa JF coz najua wajaa laana washajaa PM kwako.
Hivi mbona akili umeielekezea kwenye ushoga mama, nakuhakikishia baada ya miaka 20 miongoni mwa wanaume 10 tutakaobaki na mimi nitakuwemo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom