Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Daah kmmke nimecheka knomaNimebadili I'd, mkiendelea kunisema najinyonga naandika bango na list ya majina yenu, alaaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah kmmke nimecheka knomaNimebadili I'd, mkiendelea kunisema najinyonga naandika bango na list ya majina yenu, alaaah
Tupo na wewe hadi parapanda ilie.....Nimebadili I'd, mkiendelea kunisema najinyonga naandika bango na list ya majina yenu, alaaah
Ukuni.....Nautaka unini sasa si useme
Utabaki na rafiki ako kipenzi, ulieanza nae urafiki tangu darasa la tatu........Nimeyakoroga marafiki wote wamenikana, ila fresh tu
Hakika, huyu dogo kuna namna anatinduliwa ana swagga za kimanta, na sound kama shori, hii ni chakula cha yule bro wake wa darasa la saba.Katikati ya maandishi yako kuna vitu nimevihisi.....nimejiuliza na viswali.
1: wewe na huyo bro unaemfata mmetofautiana sana umri ulikua la pili ye la saba, maana yake sio age mate wako, sasa huo urafiki wenu unaunganishwa na nini???? Mbona hata story zenu ni za watu wawili tofauti???
2: we ni mtoto wa kiume, ila mbona una pigo za kike....unaogopa sana wanawake, na haupendi kabisa madem.
3: sorry kwa kukuwazia hivi yani una kau-innocence flani ambako huwa wanako mashoga. Gays wengi huwa wanasound hivyo
4: hapo geto ulikua unaenda kufanya nini??
5: kutokana na hiyo namba tatu hapo juu, possible jamaa kaamua atmbe mbele yako kukuonesha kuwa mwanaume unatakiwa kula na sio kuliwa, na kama we kweli mwanaume rijali jamaa kula mzigo mbele yako ingekustimulate tu.
Mwisho nasisitiza namba 3 na kama nimekuwazia tofauti, basi nsamehe bure
Gazeti kwa gazeti, ubaya ubwela.....
Hii sauti yako kama ya manzi tena pisi kali, kuwa makini kama kweli wewe ni jemedari jitafakari sana, ila na wasiwasi na wewe kwenye uhandishi na jinsi ulivyo regerege...... Angalia sana na chunga sana marinda yako.Nimeyakoroga
Hakuna ngosha rojo rojo wewe ni wakuja, japo nisikuhukumu labda na malezi pia na upole na ustaharabu uliopindukia, wewe ni mwanaume kuwa mwanaume kuwa na macho ya tai na roho kamaa simba.Usikubali kufanya mapenzi na mwanaume mbele ya Wanaume wengine.
Nipo Ilemela kwa muda, karibu tule sangara na satoo
Ladies and gentlemenHakika, huyu dogo kuna namna anatinduliwa ana swagga za kimanta, na sound kama shori, hii ni chakula cha yule bro wake wa darasa la saba.
Hakika, huyu dogo kuna namna anatinduliwa ana swagga za kimanta, na sound kama shori, hii ni chakula cha yule bro wake wa darasa la saba.
Mkuu wewe ndio umeusema ukweli, jamaa alikuwa anamtafutia dogo gap apite na marindahuyu dogo anaviashiria vya kuleft group siku zijazo, jamaa alikuwa anamtafutia timing ya kumualika 3some ili ambandue dogo.
Papai Hilo...linatafuta soko😁Wewe jamaa ni literal mpenzi mtazamaji😂😂😂