Mwanaume kufuga kucha na minywele ni ukosefu wa kazi

Mwanaume kufuga kucha na minywele ni ukosefu wa kazi

Kwako ndo hamna faida....mimi sioni kama inaathiri kazi zangu...sababu kucha nafuga kidole cha mwisho...na nywele nimefuga za wastani.... Wewe unaeenda saluni kila wiki huoni kama unapoteza muda?
 
Nimeamua kuleta thread hii mbele yenu kwa faida za wanajamii wa humu ndani na wengine wa nje.


KWAMBA
mwanaume kupoteza muda mwingi wa kufuga kucha na minywele kibao ambayo hayana faida yoyote wala kipato chochote ni ukosefu wa kazi tuu.

Nimeleta uzi huu kwa nia ya makusudi kabisa ili utoe fundisho kwa wanajukwaa wa aina hii.


Si minywele tuu wala kucha bado vipo vingi unaweza kuongezea vinavyokukera kama wewe mwanajukwaa ambavyo vitasaidia wengi humu wawe kama wanaume kamili


Mwanaume kulala uchi wa mnyama ni upumbavu uliotukuka - JamiiForums

Off
Tulia u apata sh ngap kwa kunyoa na kukata kucha......! kama unakucha na nywele mbay Tulia
 
Back
Top Bottom