Mwanaume kufuga kucha na minywele ni ukosefu wa kazi

Bila shaka utakuwa umeanzisha mradi wa kumiliki maduka ya kutoa huduma kunyoa nywele na kukukata kucha, hivyo umeona uanze na kubadili mtazamo wa wapenda kufuga nywele na kucha, ili wawe wateja katika maduka hao. Huo ni mpango mkakati wa kuongeza mapato kibiashara. Usisahau, na ndevu,kuzipigia kalamu!
 
Hahahahhaha,mara moja moja sio mbaya mkuu
 
Sijui na mimi nina kucha au nizikate???
1539441107972.jpeg
 
Unataka kutuambia yule Marcelo mchezaji wa real Madrid amekosa kazi ya kufanya?
Mkuu yule pia naye ni star..

Sasa ubaya wetu huku bongo mtu hajulikani hata na mjomba wake tayari ashafuga minywele mingii
 
MTU afuge nywele au kucha au asifuge nikipendo chake. Jali maisha yako
 
Back
Top Bottom