Nimeamua kuleta thread hii mbele yenu kwa faida za wanajamii wa humu ndani na wengine wa nje.
KWAMBA
mwanaume kupoteza muda mwingi wa kufuga kucha na minywele kibao ambayo hayana faida yoyote wala kipato chochote ni ukosefu wa kazi tuu.
Nimeleta uzi huu kwa nia ya makusudi kabisa ili utoe fundisho kwa wanajukwaa wa aina hii.
Si minywele tuu wala kucha bado vipo vingi unaweza kuongezea vinavyokukera kama wewe mwanajukwaa ambavyo vitasaidia wengi humu wawe kama wanaume kamili
Mwanaume kulala uchi wa mnyama ni upumbavu uliotukuka - JamiiForums
Off