Mwanaume kufuga kucha na minywele ni ukosefu wa kazi

Mwanaume ni kunyoa upara tena unaupaka mafuta ya kula.
 
Anayefuga nywele na anayekwenda kila mara Salon kukata nywele,yupi kati yao hapo anayepoteza muda wake? baron de montesque
Anayefuga nywele mkuu.kwa sababu mimi binafsi nikinyoa ikifika asubuh napitisha maji,Brush SAFARI.lakn upande wa pili unamkuta Bw mkubwa ana midawa,mafuta ya kila aina na gharama nyingi,vitana,mirangi rangi mingi mpk kero[emoji38]

Harufu inayobaki chumbani utadhan pana shughul ya upakaji rangi
 
hayo ni mapokeo yako!,huenda ukawa ni ujinga ama welevu wako hivyo WEWE ni huyo na WENGINE ni WAO.
Upo sahihi kabisa asew.excelent point....ndio maana nimeleta thread hii ili wanaopoteza muda kwa vitu ambavyo havina positive impact yoyote wapate angalau changamoto na mwanga.
 
Huo ni mtazamo wako, kuna watu wenye mihela ya kutisha ndo wafugaji wa kucha na sio jobless,
Go back to the field for assessment
 
IV kufuga kucha kuna uhusiano gani mbaya ambao sio wa kawaida kweny jamii? Mim binafs nina kucha fulan IV, ni ndefu Kwa hiyo inaweza tokea nimesahau tu kuzikata af ikaonekana nimefuga.......so watu Kama watatu wamewai nishangaa Kwa nini mwanaume nina kucha ndefu.? Ikabidi nianze kufwatilia isije kuwa naona kawaida kumbe zinaashilia kitu fulan kibaya!!!
 
Kuna thread napanga kupita kimya, lakini najikuta nakoment.

Ukiamua kuponda mifumo ya maisha ya watu utajipa kazi sana.

Anyway, kama huna kazi si mbaya kujipa kazi za kuchunguza ya watu.
 
Huo ni mtazamo wako, kuna watu wenye mihela ya kutisha ndo wafugaji wa kucha na sio jobless,
Go back to the field for assessment
Kabisa well said.
 
Tupo pamoja mkuu,


Hayo ni maisha yako mkuu
 
Kuna thread napanga kupita kimya, lakini najikuta nakoment.

Ukiamua kuponda mifumo ya maisha ya watu utajipa kazi sana.

Anyway, kama huna kazi si mbaya kujipa kazi za kuchunguza ya watu.
[emoji38][emoji38][emoji4]..hapana mkuu sijaponda


niliamua kuweka tuu haka kathread ili katoe mwanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…