Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
[emoji38][emoji38][emoji4]..hapana mkuu sijaponda
niliamua kuweka tuu haka kathread ili katoe mwanga
Mpaka sasa mwanga umeuona?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji4]..hapana mkuu sijaponda
niliamua kuweka tuu haka kathread ili katoe mwanga
tupo pamoja mkuu,Ngoja niendelee kufuga
Mkuu povu nitakalo chota hapa linanitosha wiki nzima kwa matumizi yangu ya kawaida[emoji4][emoji38][emoji38]Mpaka sasa mwanga umeuona?
sawa sawa mkuu.naamini tupo pamojaKucha sawa! Ila nywele hapana utanisamehe..
I can't live without ma hair, I like emm..
Mkuu povu nitakalo chota hapa linanitosha wiki nzima kwa matumizi yangu ya kawaida[emoji4][emoji38][emoji38]
Wachana na hilo jinga halina pesa ya kutunza rasta linaleta mazarau.Wanakuja kukushambulia jiandae
[emoji6][emoji109]Ooh, hongera.
Kufuga kucha hua inatafsiriwa na wengi kua ni uchoko!IV kufuga kucha kuna uhusiano gani mbaya ambao sio wa kawaida kweny jamii? Mim binafs nina kucha fulan IV, ni ndefu Kwa hiyo inaweza tokea nimesahau tu kuzikata af ikaonekana nimefuga.......so watu Kama watatu wamewai nishangaa Kwa nini mwanaume nina kucha ndefu.? Ikabidi nianze kufwatilia isije kuwa naona kawaida kumbe zinaashilia kitu fulan kibaya!!!
hahahahah...mkuu kwa kwel umeniweza.Wachana na hila jinga halina pesa ya kutunza rasta linaleta mazarau.
Kama yeye hana kazi ambambane na matatizo yake mbele kwa mbele.
Nimekosea na wewe umekosea pia mi naediti ili isomeke niliandika kwa hasira.hahahahah...mkuu kwa kwel umeniweza.
ila mwanfiko huo fanya kurekebisha[emoji4]
[emoji1]Pole pole mkuu..kwa sababu hyo hasira itakuwa haina kipimo[emoji38][emoji38][emoji38]Nimekosea na wewe umekosea pia mi naediti ili isomeke niliandika kwa hasira.
Muulize aliwahi kujiuliza kanini polisi hawaruhusiwi kuwa na ndevu ndefu?.Kufuga nywele kunaongeza kujiamini.