Mwanaume kufuga kucha na minywele ni ukosefu wa kazi

Kucha sawa! Ila nywele hapana utanisamehe..
I can't live without ma hair, I like emm..
 
Kuna ambao wanapendeza wakifuga nywele hasa wenye vichwa vidogo au wafupi...kuhusu kucha hua sielewi.
Personally sipendi kufuga nywele wala kucha nakosa uhuru napofanya kazi.
 
Kucha huwa hainiingii akilini lakini nywele ni sawa tu ila zikifugwa katika mpangilio mzuri na kwa kiasi maana too much is always harmful
 
Kufuga kucha hua inatafsiriwa na wengi kua ni uchoko!
 
Wachana na hila jinga halina pesa ya kutunza rasta linaleta mazarau.
Kama yeye hana kazi ambambane na matatizo yake mbele kwa mbele.
hahahahah...mkuu kwa kwel umeniweza.

ila mwanfiko huo fanya kurekebisha[emoji4]
 
Siku hizi washauri wa wanaume wamekua wengi humu JF..mara mwanaume hutakiwi kuongea maneno haya na yale, mara hutakiwi kufanya hivi! nyie jamaa sio kila mtu atataka kuwa kama wewe. Kuwa mtu mwenye akili timamu ni pamoja na kutambua kuwa duniani hatuwez kuwa sawa. Kila mtu angekua kama wewe basi pasingetosha
 
Hizi mada bana....mwanaume hivi...mwanaume vile....

Hata kuwaza hivyo yaweza kuleta mashaka!

Huenda kuna insecurity flani flani ndo maana mtu unakuwa so overly self conscious na uanaume wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…