Mwanaume kufuga kucha na minywele ni ukosefu wa kazi

[emoji1]Pole pole mkuu..kwa sababu hyo hasira itakuwa haina kipimo[emoji38][emoji38][emoji38]
Tatoizo sio hasira ni namna ulivyoleta uzi wako kama kitu huelewi ni bara ukauliza japo utapata majibu tofauti tofauti.
 
Hizi mada bana....mwanaume hivi...mwanaume vile....

Hata kuwaza hivyo yaweza kuleta mashaka!

Huenda kuna insecurity flani flani ndo maana mtu unakuwa so overly self conscious na uanaume wako!
nishamaliza yangu.mimi povu kama kawaida tuu[emoji4]
 
Kufuga nywele hayo ni maamuz ya mtu binafsi kwa sabab huwez kuingilia kitu ambacho mtu anakipenda we kwako unaona kufuga nywele ni vibaya its ok..!!! Lkn kuna vitu amabavyo ww unavipenda lkn mtu mwingine akikuona tu anachukia vilvile
 
Me mwanaume kama Huyo ukute ndio anakuambia anakupenda nyooooo
 
mwanaume akifuga Nywele na Kucha we Inakuuma nini...???

Unataka kila mtu awe vile unataka mkuu ...

[emoji23][emoji23]
 
Suala la kucha naunga mkono lakini nywele sikuungi. Inategemea na jinsi mtu anavyozitunza nywele zake, wapo wanaoacha afro na linawatoa kichizi kutokana na utunzwaji wake
 
Nakumbuka nilivokuwa mdogo maza alikuwa ana mind Sana akiona nimefuga kucha ya kidole kidogo.kwa Kweli haipendezi kwa mwanaume kufuga kucha kwenye nywele sijui
WAZEE WA PICHA.HIVI NDIVYO VIDOLE VINATAKIWA VIWE NADHIFU MUDA WOTEView attachment 881086
Mkuu unatumia chupa kukatia kucha[emoji4] [emoji4] ?
 
Sifugi nywele wala kucha mkuu...ila naona ni uhuru wa mtu...live your life buddy...mind your own business
 
Wapi picha?
 
bado sijajua mkuu.ikiwezekana fanya kuPM kabisa
Kwakifupi ni kwamba kunyoa ndevu kwa askari niili waweze kupokea amri. Mtu mwenye ndevu ndefu kupokea amri anajiuliza ndipo atekeleze. Na asie nazo nanakubali kirahisi sana.
Hivyo wakaona ili wawamiliki nilazima wanyoe ndevu, same na nywele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…