Mwanaume kufuga kucha na minywele ni ukosefu wa kazi

Hahahhaha.haya bana mr,kwa kwel kuna wengine wa aina yangu ni wasindikizaji

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Licha ya hayo, unajua kutumia shampoo/wengine wanatumia sabuni na brush kusafishia nywele au mafuta mazuri kwa ajili ya nywele kunasidia ngozi inayostawisha nywele, mizizi ya nywele na nywele zenyewe kuwa vizuri.
 
Tupo pamoja mkuu

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Kuna mwenzenu A1 Bentley anapaka mpaka kucha rangi, katoboa karibu na jicho anavaa kipini. Rasta zake kazitia rangi ya Gold. Wanaume wa siku hizi.
Wale wanaovaa vikuku na kutoboa pia usiwasahau pia
 
Kuweka afro sio mbaya. Nilikuaga na mapenzi Sana na waweka afro. Yani nikiona afro Kama LA masanja lile nadata
 
Kuna hali fulani ikikufika unakua unachukia kila kitu bila sababu za msingi.

Utachukia wanaokula chips, utachukia wanaokula ugali, utachukia wanaofuga nywele, utachukia wenye vipara na kadhalika, na kadhalika.

Wasioelewa watakushambulia, ila wanaoelewa watakuhurumia!

Haya, nenda ukanyoe kipilipili chako maisha yaendelee!
 
Kuna mwenzenu A1 Bentley anapaka mpaka kucha rangi, katoboa karibu na jicho anavaa kipini. Rasta zake kazitia rangi ya Gold. Wanaume wa siku hizi.
Wale wanaovaa vikuku na kutoboa pia usiwasahau pia
Ahsante mkuu kwa nyongeza
 
Hhahahahahaaaaa
 
Hahahha nisamehe mkuu na kipilipili changu tupo pamoja mkuu
 
Haina shida mkuu, najua tunafurahisha genge tu. Nothing personal.

[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
yap mkuu.hamna haja ya kununa ilihali inahitajika mda wote tuwe na furaha.

tupo pamoja mkuu
 
Akili ni nywele wewe. Endelea kutoa akili kichwani kwako
 
Kwaiyo sisi marasta fariani tumekosa kazi!!? Peace man [emoji1535][emoji1534][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…