Hata kufuga hii moja ni vibaya.. unajua kazi yake?View attachment 896222
Hahahahhaha,mara moja moja sio mbaya mkuuBila shaka utakuwa umeanzisha mradi wa kumiliki maduka ya kutoa huduma kunyoa nywele na kukukata kucha, hivyo umeona uanze na kubadili mtazamo wa wapenda kufuga nywele na kucha, ili wawe wateja katika maduka hao. Huo ni mpango mkakati wa kuongeza mapato kibiashara. Usisahau, na ndevu,kuzipigia kalamu!
Vidole vya kike hiviNakumbuka nilivokuwa mdogo maza alikuwa ana mind Sana akiona nimefuga kucha ya kidole kidogo.kwa Kweli haipendezi kwa mwanaume kufuga kucha kwenye nywele sijui
WAZEE WA PICHA.HIVI NDIVYO VIDOLE VINATAKIWA VIWE NADHIFU MUDA WOTEView attachment 881086
Upo Dar nini?Nakumbuka nilivokuwa mdogo maza alikuwa ana mind Sana akiona nimefuga kucha ya kidole kidogo.kwa Kweli haipendezi kwa mwanaume kufuga kucha kwenye nywele sijui
WAZEE WA PICHA.HIVI NDIVYO VIDOLE VINATAKIWA VIWE NADHIFU MUDA WOTEView attachment 881086
Mkuu wengine tukinyoa para vichwa vyetu tunavijua wenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha,hongera mkuu kwa msimamo
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu wengine tukinyoa para vichwa vyetu tunavijua wenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu yule pia naye ni star..Unataka kutuambia yule Marcelo mchezaji wa real Madrid amekosa kazi ya kufanya?
naamini watu wa aina hii labda washapotea
naamini watu wa aina hii labda washapotea
Shukran mkuu ujumbe wako umefika.MTU afuge nywele au kucha au asifuge nikipendo chake. Jali maisha yako
Vp mkuu ndio nywele zako izo????Mkuu kwenye nywele haiwezekani nasisikitiza tena haiwezekaniView attachment 893660
Ndio mkuuVp mkuu ndio nywele zako izo????
Mkuu nnaweza nikakufata pm sisi kama ma rastaman tuelimishane kidogo???Ndio mkuu
Hamna shida mkuuMkuu nnaweza nikakufata pm sisi kama ma rastaman tuelimishane kidogo???
Sijui ujumbe umefika sababu wengine ni wageni kwenye kutumia hayo maPMHamna shida mkuu