Mwanaume kufuga kucha ni urembo pia?

Mwanaume kufuga kucha ni urembo pia?

Jamani mwenye sukari hata nusu naazima maana nahisi kesho hapa nyumbani ni mwendo wa maji ya moto na majani tuu..
Jaribu utaratibu wa kunywa uji wa chumvi asubuhi. Nakumbuka nilikutana na hali hio nilipokua mdogo nyumbani kwetu. Kuadimika kwa sukari.
 
Leo nimeingia crdb nikahudumiwa na mwanaume amefuga kucha halaf anatype kwa madoido aisee nikabak nashangaa

Huku kwetu mwanaume akifuga kucha ndefu huwa anatoa ishara kwamba yeye ni "punga" it means "anashinduliwa"
 
Mke wangu nilishapiga marufuku mambo hayo nashukuru pia nayeye hapendi,kucha ni uchafu tu,nina utamaduni wa kukata kucha hata za wanangu kila wiki,hata wao wamezoea sasa nikisahau tu wananikumbusha wenyewe
 
Aisee nashukuru nimepata gelo frendi hana hizi mambo za urembo wa kucha
 
Back
Top Bottom