Jaribu utaratibu wa kunywa uji wa chumvi asubuhi. Nakumbuka nilikutana na hali hio nilipokua mdogo nyumbani kwetu. Kuadimika kwa sukari.Jamani mwenye sukari hata nusu naazima maana nahisi kesho hapa nyumbani ni mwendo wa maji ya moto na majani tuu..