Jaribu utaratibu wa kunywa uji wa chumvi asubuhi. Nakumbuka nilikutana na hali hio nilipokua mdogo nyumbani kwetu. Kuadimika kwa sukari.Jamani mwenye sukari hata nusu naazima maana nahisi kesho hapa nyumbani ni mwendo wa maji ya moto na majani tuu..
Mmmh hii hatari, Ila itabidiJaribu utaratibu wa kunywa uji wa chumvi asubuhi. Nakumbuka nilikutana na hali hio nilipokua mdogo nyumbani kwetu. Kuadimika kwa sukari.
Leo nimeingia crdb nikahudumiwa na mwanaume amefuga kucha halaf anatype kwa madoido aisee nikabak nashangaa
Habari za asubuhi mpendwa wanguAbeee
Ni njema mpendwa. Ibada umeenda?Habari za asubuhi mpendwa wangu
Sikwenda mpendwa wangu sababu nilikuwa najisikia kuumwaNi njema mpendwa. Ibada umeenda?
Wengine mashoga wanapenda kufafana na wanawake kwa kila jamboLeo nimeingia crdb nikahudumiwa na mwanaume amefuga kucha halaf anatype kwa madoido aisee nikabak nashangaa
Safi kabisa mkuuuMke wangu nilishapiga marufuku mambo hayo nashukuru pia nayeye hapendi,kucha ni uchafu tu,nina utamaduni wa kukata kucha hata za wanangu kila wiki,hata wao wamezoea sasa nikisahau tu wananikumbusha wenyewe
Pole mpendwa,hope waendelea vema now...Sikwenda mpendwa wangu sababu nilikuwa najisikia kuumwa
Wewe ulienda dada yangu valentina?
Aiseee wa mikoani Hamna hizi mambo?Hao ni wanaume wa dar ndio wanafuga
Ngada ndo mini mkuuzinatumika kuhifadhia ngada
Ubunifu gani tena mkuummmmmmmmmmmmmmmmmmm,watu wabunifuuuuu...........
Ndo nashangaa wamefuga baadhi yaoKucha kwa mwanaume za nini sasa?
Aisee nashukuru nimepata gelo frendi hana hizi mambo za urembo wa kuchaMke wangu nilishapiga marufuku mambo hayo nashukuru pia nayeye hapendi,kucha ni uchafu tu,nina utamaduni wa kukata kucha hata za wanangu kila wiki,hata wao wamezoea sasa nikisahau tu wananikumbusha wenyewe
Aiseee hatariiHuku kwetu mwanaume akifuga kucha ndefu huwa anatoa ishara kwamba yeye ni "punga" it means "anashinduliwa"
Wa kwako pia unamruhusu afuge kucha?Ooh yes!