Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,785
Kipenda roho ula nyama mbichi
Sio mbichi pekee! Hata nyama chafu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipenda roho ula nyama mbichi
frankly speeking, i hate it mwanaume anapokuwa na mikucha, i hate mwanaume anapovqa hereni au kata k
How do you like it? Nambie ili nijirekebishe.
usifuge kucha, usivae kata k wala kuweka hereni my byshenger, ubakie hivyo hivyo ulivyo......
angalia sana my kaka, utayasikia mengiiiiiii! hachelewi kukwambia pia kuwa kipilipili cha chini nacho chawekwa wave! mie simo!!!rafiki yangu aliwahi kuniambia kucha ndefu hutumika wakati wa faragha na demu ila sijui kama alikuwa serious au utani
omg, cacico! kwanza kuna saluni itakayokubali hilo ombi, wadada mnasemajeangalia sana my kaka, utayasikia mengiiiiiii! hachelewi kukwambia pia kuwa kipilipili cha chini nacho chawekwa wave! mie simo!!!
wala hata hatuwataki wanaume wa jinsi hiyo.
wengi ni wahuni tu!
frankly speeking, i hate it mwanaume anapokuwa na mikucha, i hate mwanaume anapovqa hereni au kata k
hawajuagi mchezo hao kabisa, huwa ni ziro! nachukia kupita maelezo mtu na makucha.
How do you like it? Nambie ili nijirekebishe.
usifuge kucha, usivae kata k wala kuweka hereni my byshenger, ubakie hivyo hivyo ulivyo......
yani hicho ndicho kinanifanya nimchukie diamond napenda mwanamme awe natural hata yule anayetia midawa kwangu mwiko
Lol.. mimi mwanaume mwenye nywele ndefu / kucha ndefu ptuuuuuuuuuuuuu wa kazia gani!!!!!!!!!!
rafiki yangu aliwahi kuniambia kucha ndefu hutumika wakati wa faragha na demu ila sijui kama alikuwa serious au utani
Khaaa!!angalia sana my kaka, utayasikia mengiiiiiii! hachelewi kukwambia pia kuwa kipilipili cha chini nacho chawekwa wave! mie simo!!!
Concluded!!!!
![]()
Huyo jamaa niliyemwona leo kafuga vidole vitatu vya mkono wa kushoto,nikajiuliza anakwendaje chooni..? Hlafu ni mwislamu lazima atumie maji aendapo haja ndogo/kubwa haitakiwi toilet paper wakati wa kujisafisha baada ya haja katika Uislamu.Huwa sijui kwa kweli sijui na wao ni urembo ama vipi unakuta wengine wamefuga kucha kidole kidogo mkono wa kushoto,mimi nahisi utozi tu hakuna la zaidi na kucha kwa mwanaume
Ni ushamba tu wengine wanalimbukia kwa kuiga hata yasiyo ya maanaHuyo jamaa niliyemwona leo kafuga vidole vitatu vya mkono wa kushoto,nikajiuliza anakwendaje chooni..? Hlafu ni mwislamu lazima atumie maji aendapo haja ndogo/kubwa haitakiwi toilet paper wakati wa kujisafisha baada ya haja katika Uislamu.