Mwanaume kuiomba airtime voucher!!!!


hiyo red..rejea sred utaona kuna nilipojibu hili swali..kwa kukusaidia tu ni mfanyakazi na kila mfanyakazi anafahamu namba ya mwenzake kikazi zaidi.

-nilipotongozwa sikusema mana si jambo la ajabu ila kuombwa vocha wakati unanitongoza ni ajabu haijawahi kutokea
-anaongea dakika hata tano hazifiki anasema call me back pls..hiyo kuomba aliiomba out of the blue kapiga na kusema nitumie vocha ya elf 2
-sijawahi kumpa hope nilimpa black and white kuwa simtaki
-hata kama ukimkataa mtu haimaanishi akikuongelesha ndo uuchune huo tena utakuwa uswahili
 
nilitaka kupima boiling point yenu...:juggle:
Aisee yaani nimecheka sana wakati nafuatilia huu uzi. Kilichonishangaza ni jinsi ambavyo wengi wa dada zetu hapa hawakugundua mapema kuwa mnawayeyusha tu. Yaani mmewayeyushaa weeeeee, na wao masikini wanagombana na kiibodi tu lol.
 
VOUCHER NA HOFA KWA MWANAUME, KWA MWANAMKE... SIJASEMA MIE!:ballchain:


 
Inawezekana umekaa ki-sukari mama (sugarmummy) zaidi. Tafakari chukua hatua.
 
Huyo jamaa ni MARIO chukua hatua mapema! Kuna wengine utasikia sorry una laki hapo .
 
Aisee yaani nimecheka sana wakati nafuatilia huu uzi. Kilichonishangaza ni jinsi ambavyo wengi wa dada zetu hapa hawakugundua mapema kuwa mnawayeyusha tu. Yaani mmewayeyushaa weeeeee, na wao masikini wanagombana na kiibodi tu lol.

Hahahahahahahah lol
umenifanya na mie nicheke
daahh kweli lakini
Tumekasirikia keyboard
Dahh kuna hatari kweli
Bp na shell imetupanda
For no reason lol
 
tunafeel the same way kwa sababu kwanini mwanaume awe wa kutumika tu aumize kichwa kupanga maneno ya kukutongoza,aanze kukuhudumia kwa kila kitu na mlivyo wa ajabu ukiona tu jammaa anakumendea unapanda bei ghafla. hiyo haitoshi hata tukiwapa kila kitu mnaanza oh he doesnt satisfy me au oh haendi na wakati.so its our time now to get rid of you sasa ni kazi kwenu kututongoza
 
Da! Wanaume tunapoteza malengo hata kwenye bible iliandikwa mwanamke atazaa kwa shida na sisi tutatafuta kwa jasho na zaidi yeye ametoka kwenye ubavummoja kutoka kwetu. sina maana kua ni sawa kama huyu dada alivyo fanya laa huyu dada kakosa nidhamu awezi kuwa na mawasiliano nae mda then leo kuombwa voucher atangazie ume anamatatizo au amezoea kuomba akiombwa uchukia je emejichungaza yeye? huyu kaka wenda katika kule kumpenda zaidi anachokiona yeye anafanya vizuri labda anaona wakishare vitu ndio upendo halisi kumbe ni elimu tuu huyu anatakiwa kupewa kuwa mwanaume lazma awe strong kama mama zetu walivyotulia na kutuundisha je sisi tunavyoomba au wao wanavyotuomba tufanye kama huyu binti halivyofanya?


wee binti jichunguze wenda ukwa mapepe or wa changu ni changu na chako ni changu fikiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…