sweetdada
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 517
- 169
- Thread starter
- #241
Mbona ulivyokuwa ukitongozwa hujasema? wewe vipi? kama ulifika mpaka kumpa namba yako na kumsikiliza why kumpa voucher? wewe ungemuomba? kama mtu anakupigia kama credit inaisha means unamsikiliza kabisa na kumpa hope why not kumsaidia aendelee kukuimbisha kama nyimbo zake unazikiliza?
hiyo red..rejea sred utaona kuna nilipojibu hili swali..kwa kukusaidia tu ni mfanyakazi na kila mfanyakazi anafahamu namba ya mwenzake kikazi zaidi.
-nilipotongozwa sikusema mana si jambo la ajabu ila kuombwa vocha wakati unanitongoza ni ajabu haijawahi kutokea
-anaongea dakika hata tano hazifiki anasema call me back pls..hiyo kuomba aliiomba out of the blue kapiga na kusema nitumie vocha ya elf 2
-sijawahi kumpa hope nilimpa black and white kuwa simtaki
-hata kama ukimkataa mtu haimaanishi akikuongelesha ndo uuchune huo tena utakuwa uswahili