Hao hao mnaokutana nao tip top ndio wanapenda vitamu vya wanaume, kwanza ukishaona mwanamke ana kazi yake inayomuingizia kipato anaomba kuliko maelezo ujue huyo hakupendi unamlazimisha vivyo hivyo kwa wanaume mi ukinianzia hivyo fide nitakutoa balu mpaka kwenu
inawezekana yuko kwenye foleni au safari dear.. sasa atapata wapi vocha na ana shida ya haraka?
Kwani hicho unacho jigamba nacho kitamu?
Hicho kina radha ya chumvi mama sio kitamu.
CPU na wewe huwa unaomba vocha ya buku mbili??
Haki sawa hakuna wala nini kwanza si mshukuru siku hizi tunafanya kazi hatuwaombi ombi wanaume bana usipomuomba hela anabadilisha kiabao anaanza yeye kwa kudhani labda unazo sana kumbe basi tu mtu uso umeumbwa na haya kama unapata kidogo cha kukutosheleza uombe ombe ili iweje? sasa hivi wanawake wengi tu hawana tabia ya kuomba omba
@MESTOD- ningemuomba anipe ina mana ya kwamba tayari angekuw ani mpenzi wangu so nisingekuja kulalamika,ila kwasababu sio mpenzi wangu na ndo yuko kwenye stage ya kunitongoza ndo mana kaniPUT OFF.
@Samora- sijawahi kukutana nae physically i.e. kama unamaanisha sexual intercourse..nimesema ni mtu ninafanya nae kazi nothing more.
Wanaume mnafurahisha sana,hapa mnajaribu kutetea lakini deep down ur hearts mnajua jamaa kachemsha..nyie wote mnaojibu hapa je mmewahi au mnaweza kufanya hivyo??
nijuavyo mimi mwanaume mara ya kwanza lazima ajitutumue ili aonekane yeye anaweza na sio kujishusha na kutafuta mteremko.
Kwa sababu za kimazoea au??
:lol::lol::lol::lol:
Alright nimeipata 2500 nimempunguzia Afro kwenye simu yake l.o.l, oohhh salamu zimefika kabisaumeipata bro? nimekutumia ya 5000....ikiisha ni beep nikuongezee,msalimu Afro!!:washing:
Mimi nikimuomba mwanamke vocha ya buku 2 ujue nina shida ya hatari sana, na niko sehemu ambayo hakuna benk wala vocha
ana shida ya haraka ye aliwahi kumpa?
Ahaaaa ahaaaa yameisha sweetheart sirudii tena naogopa Kung Fu Panda
True love requires tender passion and faithful devotion to triumph beyond a feigned heart
Kwani hicho unacho jigamba nacho kitamu?
Hicho kina radha ya chumvi mama sio kitamu.
Alright nimeipata 2500 nimempunguzia Afro kwenye simu yake l.o.l, oohhh salamu zimefika kabisa
ha ha ha ha ha haa:lol::lol::lol: mbona mnakua wakali namna hii jamani? si buku mbili tu?:lol:
ana shida ya haraka ye aliwahi kumpa?
Sasa unaona kumbe unajua mwanaume hatakiwi kuomba vocha ni aibu ujue au usikie eti simu inakwisha pesa nipigie kha!!! Nitakupa kibuti hicho hujawahi kukiona aibuuuuu dume zima eti naomba vocha.
mi sijajigamba babu,usinisemee........kama kwako kina ladha ya chumvi kwa wenzio chaitwa kitamu na uchumvi chumvi wake.....haipendezi kuomba vocha....labda kama una tatizo linaloeleweka !! tabia mbaya!!:washing: