semango
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 532
- 45
lol..nilijua tu wanaume mtatetea..kam amtu anaamua kuongea for 5 minutes haimaanishi ninaenjoy mazungumzo
siwezi kumkatisha maongezi
na mara nyingi anaishia kulalama tu kuwa simjali simpendi namdharau n.k
mbona wanawake watongozaji akiamua kukucall huwa anaingia cost mwenyewe??ila ukimkubali ndo unalipia cost zoe
sasa kwanini na yeye asifanye hivyoo...haa!!he spoilt my day for real mxii
sweetdada unajua tatizo liko wapi....wanawake mnamentality kua cha mwanaume ni cha wote wakati cha kwenu ni chenu wenyewe na ndio maana imekuuma sana kuombwa voucher.we mtumie tu hiyo buku 2 muende sawa