Mwanaume kuiomba airtime voucher!!!!


sweetdada unajua tatizo liko wapi....wanawake mnamentality kua cha mwanaume ni cha wote wakati cha kwenu ni chenu wenyewe na ndio maana imekuuma sana kuombwa voucher.we mtumie tu hiyo buku 2 muende sawa
 
Sasa unaona kumbe unajua mwanaume hatakiwi kuomba vocha ni aibu ujue au usikie eti simu inakwisha pesa nipigie kha!!! Nitakupa kibuti hicho hujawahi kukiona aibuuuuu dume zima eti naomba vocha.


jamani DA yani hata kama nina shida ya hatari nikikuomba vocha kibuti kinalia?:Cry:
 
mi sijajigamba babu,usinisemee........kama kwako kina ladha ya chumvi kwa wenzio chaitwa kitamu na uchumvi chumvi wake.....haipendezi kuomba vocha....labda kama una tatizo linaloeleweka !! tabia mbaya!!:washing:

Wanawake bana!!
Full ubahili, with no reason :lol::lol::lol:
 
Hahahahahahahah
Lol
nashindwa kubishana na we
maana unautani mwingi lol

Nway
Mimi na wewe tunajuana so nikiwa nimepigika sioni tatizo kukwambia lakini ingekuwa ndio mara ya kwanza tumekutana dah aisee ingekuwa ngumu
 
DA
Mimi nimeongelea kwa upande wangu tu, lakin sihalalishi mwanaume hawezi kuomba vocha
Hivi kwanini kwenye masuala ya pesa za mwanamke kutumiwa na mwanaume inakuwa ngumu sana???
Any reason plse???


Wewe ni kichwa cha nyumba
 
wape vidonge vyao wakimeza wakitema ni shauri yao Afro.....mwanaume uombe vocha???? eti nao wataka usawa....basi tukiwa vichwa vya nyumba muwe kimya si kuleta jeuri :washing:

kama majukumu yote mtayaweza tutakaa kimya mpaka mtashangaa.lakini kwa style ya kuhamaki tukiomba voucher tu sidhani kama mtamudu kua vichwa vya nyumba
 
umeipata bro? nimekutumia ya 5000....ikiisha ni beep nikuongezee,msalimu Afro!!:washing:

Sijambo mpenzi
eti yule alikuomba vocher
Ukamnyima ndo maana cosovo
Nato ikaanza
Hahah lol

Vipi mambo lakini?
Eti bado hujamtumiaga vocher
Hashycool?
 
Wanawake bana!!
Full ubahili, with no reason :lol::lol::lol:

l.o.l :hug: its sweeter that way.....mwanaume abaki kuwa mwanaume na awe na tabia za kiume.....period!!
 
nakuabaliana nawe 100%.. ila ndio maana nikasema labda yuko mahala ambapo sio rahisi kupata vocha, akaona mtu wa karibu kumsaidia ni wewe kipenzi chake:tongue:

hahhaha huyu kaishiwa sera hana lolote sio kama yuko mahali si rahisi kupata vocha.do tabia yake yaonyesha.
kwanini kila akipiga simu akiongea anasema please call me back,kama alikuwa ameamua kuoiga simu, aweke aitime yakutosha sio kutaka kuigiwa eboo..nani anamtaka mwenzake sasa,ningeanzisha kumtaka ningekuwa nampigia bila tatizo.hee!ajabu
 
Taratibu....kila mtu ana maamuzi yake....usiusemee moyo wake wala kutabiri atakachofanya baadaye,huyo anayemtongoza sasa hafanani na aliyenaye wala atakaye kuwa nae ndo maana anapinga na ameshasema hana mapenzi nae.....:focus:

ndugu yangu unajua ktk uumbaji wa Mungu mwanaume ndio huwa anamapenzi towards mwanamke then mwanamke huwa anajifunza kumpenda mwanaume aliyemtongoza.so mkuu hapo hajausemea moyo.amesema tu swala lililo wazi
 
sweetdada unajua tatizo liko wapi....wanawake mnamentality kua cha mwanaume ni cha wote wakati cha kwenu ni chenu wenyewe na ndio maana imekuuma sana kuombwa voucher.we mtumie tu hiyo buku 2 muende sawa

Hakuna wanawake wa aina hiyo siku hizi, kama umekutana na wa hivyo jua hakupendi kwa nini wagumu wa kuelewa nyinyi akupendae anaweza asikupe kama uwezo wake si mzuri na hata kuomba anaomba inapobidi sana mpaka hata wewe mwenyewe unaona aibu unatoa.
 
jamani DA yani hata kama nina shida ya hatari nikikuomba vocha kibuti kinalia?:Cry:

Kuna zile sehemu kama umekwenda home kumsalimu mather, bibi na wengine huko vocha sometimes zinakuwa shida mpaka upande baisikeli kweli hapo nitakutumia lakini uko town hapa hapa bongo eti naomba vocha sikutumiii ng'o
 
Sijambo mpenzi
eti yule alikuomba vocher
Ukamnyima ndo maana cosovo
Nato ikaanza
Hahah lol

Vipi mambo lakini?
Eti bado hujamtumiaga vocher
Hashycool?

watu ukiwanyima vocha wanakuvamia kama walivyovamia Libya kwa kunyimwa mafuta......wakali hao....eti wataka usawa....wazae basi na wao.....

mimi sijambo,nam miss sana Hashycool....natamani aje tu kwa sekunde aishie zake....i hope he is well...yule hata aishiwe vipi haombi vocha,nami nikihisi kaishiwa nampigia simu mimi mwenyewe!!!.....:juggle:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…